Wanaume kupewa kipaumbele Kliniki za watoto ni mtego

Wanaume kupewa kipaumbele Kliniki za watoto ni mtego

Naam ndo maana nasisitiza upo nyuma sana kwenye eneo la kutafsiri.

Sikusema kuwa nilikaa leba kumshuhudia mke wangu akijifungua. Bali nilikuwa naenda naye hospital hata siku ya kujifungua kwake lakini hakuna mahala nimesema twende leba nao ndo maana nikaweka phrase pale juu kuwa kuwasindikiza siyo kushiriki uchungu wao.

Show love to them. Hata kama ni mchepuko nenda naye clinic🤣
Sasa taarifa ile kutoka mbeya ndio ilisema kwamba wanaume wawe wanashuhudia. Upendo sio kwenda naye clinic mkuu upendo ni zaidi ya hayo
 
Kuenda tutaenda nao (kama hatuna kazi za kufanya) ila sio lazima. Sisi tuna mambo mengi ya kuvuja jasho ya kufanya!

Kuhusu huo mtego ni kweli kuna mtego maana kwa baadhi ya wanawake wasiojitambua wanaweza wakayachukulia kuwa hayo ya kumpeleka mtoto au kwenda naye Clinic ni majukumu ya lazima kwa mwanaume!

Sasa siku itokee usiende hapo ndo shida huanza mara minuno, makasiriko kibao.
Kweli kabisa Mkuu
 
sasa taarifa ile kutoka mbeya ndio ilisema kwamba wanaume wawe wanashuhudia. Upendo sio kwenda naye clinic mkuu upendo ni zaidi ya hayo
Mkuu ile ni taarifa lakini how you do it ni uwezo wako wa reasoning🤣
 
Umeshindwa kujenga hoja. Pia umeshindwa kuyatafsiri Maandiko

Mimi binafsi mke wangu alipokuwa mjamzito siku yake ya kwanza kwenda Kliniki hadi alipojifungua na hadi watoto
Hongera sana mkuu nami pia niliona umuhimu kwangu wakati mnapoenda kliniki kuna vitu vingi sana mnaelezwa sasa baba anapokuwepo inakuwa rahisi kutimiza hivyo vitu tofauti na ile ya kuambiwa
 
Wanaume ni wabishi sana hadi tuwapeni limbwata ndio huwa akili zinawakaa sawa kidogo
Kinacho wafanya mtupe limbwata ni wivu, tamaa, na nyege. Hapo kwenye tamaa ndio pana beba dhima nzima ya tamaa
 
Usione shida Mkeo kumsaidia mambo madogo Kama hayo Kama kweli umeamua kuwa ndiye Mkeo.

Mbona yeye anakusaidia mambo mengine Kama kutafuta pesa? Au kusimamia Miradi yenu
 
Usione shida Mkeo kumsaidia mambo madogo Kama hayo Kama kweli umeamua kuwa ndiye Mkeo.

Mbona yeye anakusaidia mambo mengine Kama kutafuta pesa? Au kusimamia Miradi yenu
Iwe usaidizi pale inapotokea dharura kubwa tu na isiwe lazima. maana kizazi hiki kitakuja kuona kumpeleka mtoto clinic ni Jukumu la baba na mama. Kukaa leba kumchungulia mkeo anajifungua watakuja kuchukulia ni jambo la lazima. Mabeberu wanaitumia sana wizara ya afya kupandikiza ajenda zao
 
Hata hii asilimia 50 kwa 50 hadi kufikia rais mwanamke ni matokeo ya kuingizwa kingi kwenye mitego ya namna hii na mijanaume bila kutafakari inajikuta imejaa, baadaye tukija gundua tumeingia mkenge ndo tunaanza tena kubwabwaja......na haya mambo ukiyaangalia kwa jicho la kiroho yamebeba ajenda za kishetani yaani uasi dhidi ya maagizo ya Muumba.​
 
Kabisa Mkuu kuna watu wanapandikiza ajenda zo kisiri siri
 
Watu wanatengeneza mazingira ya kupiga pesa siku za usoni😁😁😁😁 uanaume utakuwa deal sana miaka ya mbele huko ambako wanaume watakuwa wamelendemka na kulemaa kwasababu ya kuharibiwa uwanaume wao hivyo kuanzisha mitaala ya kufunza wavulana uanaume,,,,,mwnaume tafta hela ache ufala,,,,utatawaliwa sana kama huna hela,,,,,mwanaume unatakiwa utoke asubuhi na mapema urudi usiku,,,,hiyo nyumba sio yako nyumba yako ni kaburi tu,,,,hiyo nyumba ni sehemu ya kupumzika baada ya kutoka miangaikoni,,,,,narudia tena acheni tabia ya kushinda nyumbani,,,,,
Safi sana Mkuu. Well
 
hongera sana mkuu nami pia niliona umuhimu kwangu wakati mnapoenda kliniki kuna vitu vingi sana mnaelezwa sasa baba anapokuwepo inakuwa rahisi kutimiza hivyo vitu tofauti na ile ya kuambiwa
Umeandika kwa ufupi lakini very deep. Ndicho kinachojiri. Unajua kuna baadhi ya matukio ya ujauzito mama huwa anayasahau anapokuwa kwa dokta. Anataka apimwe apewe dawa kisha atajiwe another date lakini vingi vinakosekana hapo kati vinavyomsaidia tabjbu kumuatend vyema
 
huna hela tu ndo maana unabwabwaja tafuta hela na uwe na upendo na watt wako kwan kumpeleka klinik si sawa na kumpeleka hospitali akatibiwe tatizo umaskini umekutinga sana kwenye maisha unachojua ni kuzalisha hao watt huwapendi kwakua huna pesa ila jifunze washua kibao wanapeleka watt wao klinik tena wanakua na furaha tu ww kama damu yako kwann usiihudumie huyo mwanamke unaesema dhaifu kakuzaa kakule mpka leo unatype na mavidole kama yanaukoma binadamu maskini sjui mkoje heb jitahidi utafute hela. mkishakuaga maskini ndo mnakumbuka mistari ya biblia ya kukandamiza wanawake wakat bado mnawategemea wawazalie na wengine wawe mama zenu. au mama yako ndo dhaifu mpka kakuzaa una udhaifu wa akili
 
Kuna siku nilikuwa hospital, mara ghafla akaja kaka mmoja kaongozana na bi dada!

Kaka kabeba mkoba plus mazagazaga! Wakaingia clinic na kutoka!

Lakini baada ya kutoka Huku nyuma wadada na wamama wakaanza kucheka pamoja na kumjadili .
wachunguze vizur hao wanaomsema na kumcheka lazima wanatokea maisha ya kimaskini ukiwauliza waume zao wako wapi wengine hapo hawana hata waume wamezalishwa tu.na kama yupo mwenye mume hana kipato cha kueleweka ni kuunga unga
 
Bro hio hoja ya kwanza hata mimi casanova mysoganist nakupinga

Ila hiyo hoja ya pili uko sawa yaani niangalie mtoto anavyozaliwa aisee sitakula nyama mwezi
 
huna hela tu ndo maana unabwabwaja tafuta hela na uwe na upendo na watt wako kwan kumpeleka klinik si sawa na kumpeleka hospitali akatibiwe tatizo umaskini umekutinga sana kwenye maisha unachojua ni kuzalisha hao watt huwapendi kwakua huna pesa ila jifunze washua kibao wanapeleka watt wao klinik tena wanakua na furaha tu ww kama damu yako kwann usiihudumie huyo mwanamke unaesema dhaifu kakuzaa kakule mpka leo unatype na mavidole kama yanaukoma binadamu maskini sjui mkoje heb jitahidi utafute hela. mkishakuaga maskini ndo mnakumbuka mistari ya biblia ya kukandamiza wanawake wakat bado mnawategemea wawazalie na wengine wawe mama zenu. au mama yako ndo dhaifu mpka kakuzaa una udhaifu wa akili
Punguza hasira Mkuu Mimi sio masikini ila nchi yangu ndio masikini
 
Back
Top Bottom