Wanaume kupewa kipaumbele Kliniki za watoto ni mtego

Nadhani hata haufahamu wababa wanafuata nini clinic
 
Hiyo sio Sehemu ya majukumu ya kiume. Wewe endelea kusaga wenzio Kwa starehe zako

Lakini wanawake kuprovide kwenye familia ni jukumu Lao siyo?

Unajua madhara ya afya ya baba kutokujulikana mama anapokea mjamzito?
 
Mm nimezungumzia wapi ujauzito Mkuu uwe unasoma ukiwa umetulia?
 
Back
Top Bottom