Wanaume kupewa kipaumbele Kliniki za watoto ni mtego

Labda kwa limbwata. Kwa mwanaume mwenye akili timamu hatakubali huu upuuzi. Kila mtu atimize majukumu yake ipaswavyo tusiende kinyume na mpango wa Mungu.
 
Labda kwa limbwata. Kwa mwanaume mwenye akili timamu hatakubali huu upuuzi. Kila mtu atimize majukumu yake ipaswavyo tusiende kinyume na mpango wa Mungu.
Wa kwangu anapika hadi ugali na kunipakulia, huwa ninachangia kuosha vyombo tu.
 
Wa kwangu anapika hadi ugali na kunipakulia, huwa ninachangia kuosha vyombo tu.
Ongera zako. Wengine tunatimiza majukumu yetu Kama tunavyoagizwa na maandiko matakatifu, hivyo majukumu ya mwanamke tunayaacha kwake including ya jikoni. Mimi kazi yangu Ni kuwezesha ili atimize majukumu yake kiufasaha fulstop.
 
Anafanya mengine pia lakini kupika anapika, anafua nguo zake na kupiga pasi.
 
kweli mkuu nililiona hili,yaani ilikuwa hivi mwanamme anasema dokta kasema usifanye hiki ama dokta amesema upumzike yaani kiukweli ni muhimu sana,
 
wachunguze vizur hao wanaomsema na kumcheka lazima wanatokea maisha ya kimaskini ukiwauliza waume zao wako wapi wengine hapo hawana hata waume wamezalishwa tu.na kama yupo mwenye mume hana kipato cha kueleweka ni kuunga unga
hapo wengi hawana wanaume hata wa kuwasindikiza kliniki,nisiwadanganye wanawake tunapenda sana kusindikizwa kliniki,na nisiwadanganye ukiwa na usafiri wako mambo, safi basi utapenda umsindikize mkeo kliniki,hayo mengine ni maisha magumu tu
 
Mna abuse neno 'Kiongozi/Kichwa cha Familia',
Hivi mnadhani kua Kiongozi wa Familia ni kukuna korodani tu, kiongozi bora ni yule anayefatilia anaowaongoza, ajue kila muenendo wao, changamoto zao, nakadhalika,

Unajiita Kiongozi wa Familia hujui Familia yako hua inaambiwa nini huko Clinic kama wanafundishwa mambo sio mazuri utajuaje bila kuhudhuria?
 
kweli mkuu nililiona hili,yaani ilikuwa hivi mwanamme anasema dokta kasema usifanye hiki ama dokta amesema upumzike yaani kiukweli ni muhimu sana,
huwezi kumruhusu mkeo apumzike hadi uambiwe na Dokta. Kwani hujui namna ya kuishi na mama mjamzito hadi uambiwe kweli kwani wazee wetu waliotulea bila hata hao amdaktari wala hospitali waliwezaje. Hoja yako ni mfu ni vile tu umelogwa siku mganga wake akifa utakuja kunishukuru
 
kKiongozi unatakiwa kufuatilia tu mkuu sio kubebeshwa mtoto mgongoni umpeleke kliniki aisee. Thie wanawake munafosi sana kutaka kugawana majukumu na wanaume ndio maana munaishia kusagana huko kujifanya matomboy. Upuuzi
 
itakuwa hujanielewa,siku moja mpeleke mkeo kliniki utakuja kunishukuru
 
Hili ni janga mkuu.. Yeyote mwenye akili iwe ni mwanamke au Mwanaume kwenda kliniki sote twajua ni jukm la mwanamke

Haya mambo ya 50/50 ni agenda za mpinga kristo!!!

Nakumbuka miaka Ile shule za msingi tulisoma Kabisa mgawanyo wa majukmu katika familia(maarifa ya jamii Drs la3)

Alf Leo hii wasomi na wasanii ( vioo vya jamii wanapotosha bila hata kujali).. naunga mkono hoja
 
Kabisa Mkuu
 
Wanaume tuna mambo ya ajabu

Mtu anaweza mfanyia mabaya mke wake ila hataki dada yake atendwe hivyo.

Hataki binti yake atendwe hivyo..

Binafsi nimeenda Clinic kumpeleka mtoto mara 1 peke yangu
 
kKiongozi unatakiwa kufuatilia tu mkuu sio kubebeshwa mtoto mgongoni umpeleke kliniki aisee. Thie wanawake munafosi sana kutaka kugawana majukumu na wanaume ndio maana munaishia kusagana huko kujifanya matomboy. Upuuzi
Kiongozi ni lazima ajue uzuri na ubaya wa kubeba Mtoto mgongoni, Kiongozi bora ni yule anayetenda na sio kuamrisha,
Kusagana ni starehe kama starehe zengine lakini kwenda Clinic ni Wajibu na Jukumu lenu nyote.
 
Hiyo sio Sehemu ya majukumu ya kiume. Wewe endelea kusaga wenzio Kwa starehe zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…