Hiyo sio Sehemu ya majukumu ya kiume. Wewe endelea kusaga wenzio Kwa starehe zako
Sio jukumu LaoLakini wanawake kuprovide kwenye familia ni jukumu Lao siyo?
Unajua madhara ya afya ya baba kutokujulikana mama anapokea mjamzito?
Mm hapana Kwa kweliHakuna Cha mtego Wala Nini..pelekeni watoto clinic huko😂
Mm nimezungumzia wapi ujauzito Mkuu uwe unasoma ukiwa umetulia?Lakini wanawake kuprovide kwenye familia ni jukumu Lao siyo?
Unajua madhara ya afya ya baba kutokujulikana mama anapokea mjamzito?
Mpeleke tuKama Ni mtoto wangu, kumpelekea clinic kuna shida gani???