Wanaume kwenda Sokoni: Ni moja ya maajabu ya Zanzibar

Mbona Tarime na kiabakari napo kuna hayo mambo sana tu
 
Mkuu c kwenda sokoni tu, shuhuli zote za usumbufu na kutumia nguvu, haturuhusu afanye mwanamke, mfano kubeba maji kutoka kisimani au bombani, kumlimisha kwa wale wanaoishi vijijini na kazi zote za usumbufu

Safi saana!
 
Mhh hakuna kitu kama hicho mkuu mbona wanawake wengi sana sokon wanaume wapo pia ila asililmia kubwa ndo wanunuzi japo kua wanaume wapo pia au mwenzetu utuambie znz sehem gani maana darajan nfo usiseme wanawake walivojaa

asilimia ya kubwa ya wanawake wanaokwenda sokoni ni wanawake wa kibara, lakini waznz ni wachache sana, mie nipo migombani
 
Mhh hii naona kama inakua ligi sasa haya nikubali we upo migomban mi nipo kwa mchina
 

daraja gani la juu wakati nchi za kiislam hata kusoma hawapelekwi? kuendesha gari ni kosa la kufanya mtu auwawe?

katika uislam, mwanamke anathamani ndogo sana nadhani kuku ana thamani kubwa sana
 
daraja gani la juu wakati nchi za kiislam hata kusoma hawapelekwi? kuendesha gari ni kosa la kufanya mtu auwawe?

katika uislam, mwanamke anathamani ndogo sana nadhani kuku ana thamani kubwa sana

Ushauri wa bure "Soma quran tukufu".
 

ingekuwa hivyo na kwenye kurithi mali ningekubaliana na wewe
 
Sio kwa wazenji kwenda sokoni ndio wanajali, ila ukweli maisha yao kwa ujumla wanamjali mwanamke, wajua mwanamke ni chombo cha kumstarehesha, ivo uhakikisha muda wote mwanamke anakuwa katika hali nzuri.

we huwajui hawa watu!! ngoja nikupe tu kwa kifupi
-hivi unajua wanawake hawana haki ktk urithi wa mali
-hawaendi shule
-hawali mpaka wanaume washibe - kama unaendaga kwenye shughuli zao utaliona hili wazi wazi
-hawaswali pamoja na wanaume
-wanawaza kuolewa tu, utasikia mi hiki chungu cha tatu, sijui cha nne!! hii yote kwa sababu wako suppressed, hawawezi kusimama wao kama wao
kifupi hawana uhuru!!
 

mito hapo kwa red ni kiboko.
mimi saa hii nipo kwa boti naelekea huko sasa unanikatisha tamaa tena, wacha nishuke njiani nisubiri boti inayorudi.
 

Weka heshima mkuu. Nani amekuwambia kuwa nyumba za ukanda wa bahari hakuna vyoo?
 
Hao niwazembe hawaji shugulish.haiwezekani mwanaume uwe bizy update mda Wa kwenda sokoni

Mzembe ni wewe, wakezetu tunawapa heshima sana na kuwatunza, kufanya kazi kwao ni mapendekezo yetu, binafsi nafanya kazi masaa 12 kwa siku na muda ninao maliza kazi napita sokoni, market hata kama usiku.

Mke wangu akienda sokoni ni emergency.
Sita ruhusu nke wangu afanye kazi, office zenyewe zimejaa ngono. Ever and never.
 
daraja gani la juu wakati nchi za kiislam hata kusoma hawapelekwi? kuendesha gari ni kosa la kufanya mtu auwawe?

katika uislam, mwanamke anathamani ndogo sana nadhani kuku ana thamani kubwa sana

Kipofu maskini wala huoni...
 
aya ipi? sema aya specific
Mwanamke kapewa darja la juu kuliko mwanamume. Kwanza kabisa ktk quran kuna sura ya wanawake (surat an nisa yenye aya 177) hakuna surat al rijal hilo ni darja kubwa kabisa kwa mwanamke kwa anayejua uzito wa kitabu hiki kitakatifu,, Kaisome sura hiyo hususan ktk aya 128,, 125,,35,, 20,, 6 na 5,,. Kwa kuongezea mwanamke kapewa darja ya juu kabisa ktk uislam kwani familia itakayojaliwa kuanza kupata mtoto wa kwanza akawa ni wakike basi ni baraka kubwa sana kwao ukilinganisha na kuanza na mtoto wa kiume. Kama hiyo haitoshi,, mwenyezi mungu ameahidi pepo kwa mwanamume aliyejaaliwa kupata mtoto wakike kisha akamkuza ktk maadili mema mpaka anamkabidhi kwa mumewe,. Kwa mantiki hiyo basi hizo ni miongoni mwa sababu zinazodhhirisha kuwa mwanamke amepewa darja la juu ukilinganisha na mwanamume ktk uislam. Na Mwenyez mungu ndo mjuzi zaid.
 
wazenji wanawaza sana ngono na kuzaliana mwanamke usiku halali anapigwa mambo so mchana ni muda wake wa kupumzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…