WANAUME LINDENI MALI ZENU.HAPA DUNIANI MALI NDO UTAMBULISHO WA MWANAUME.

Miguel Felix Gallardo

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
2,841
Reaction score
5,218
Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga.

Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa umekuja kuzurura au ni nini???

Kama huwezi mbaga za ndoa bora uwe serious bachelor.Hakuna mantiki ya kuvuja jasho na sometimes damu alafu uje uigawe kirahisirahisi hiyo mali.

Ni muda muafaka sasa nchi yetu ikapeleka MUSWADA BUNGENI KUHUSU SHERIA ZA MALI KWA WANANDOA(PRENUP) HII ITAPUNGUZA UJASIRIANDOA NA JANJAJANA.MAANA SIKUIZI HAKUNA MAPENZI WATU WAKO KAZINI WANACHIVAYOCHIVAYO ILIMRADI WAPATE MALI KIURAHISI BILA KUVUJA JASHO.
 
Baad ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga.

Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa umekuja kuzurura au ni nini???

Kama huwezi mbaga za ndoa bora uwe serious bachelor.Hakuna mantiki ya kuvuja jasho na sometimes damu alafu uje uigawe kirahisirahisi hiyo mali.

Ni muda muafaka sasa nchi yetu ikapeleka MUSWADA KUHUSU SHERIA ZA MALI KWA WANANDOA(PRENUP) HII ITAPUNGUZA UJASIRIANDOA NA JANJAJANA.MAANA SIKUIZI HAKUNA MAPENZI WATU WAKO KAZINI WANACHIVAYOCHIVAYO ILIMRADI WAPATE MALI KIURAHISI BILA KUVUJA JASHO.
Umeoa?
 
Basi kama ni hivyo, I'm sorry to write this..."Uzi wako umekosa maana"..!
Maana yako haina maana kwangu.Alafu JF ni huru.Pita kushoto!!!

Nenda kwenye nyuzi za kimasihara na cha asubuhi.Huku kwenye nyuzi zangu naongea na watu conscious and highly emotional intelligent.
 
Upo vizuri.Ingawa si sana katika kujilinda.Je,unawezaje kuilezea njaa ilivyo wakati haujawahi kusikia njaa wala kula,boss!?
 
Mali ni vitu vya kupita, ndio maana siku hizi ukigombea mali, unaachiwa, mwanaume anaenda kuanza upya.
Wanaume design yako ni wazururaji hapa duniani.

Mali inatafutwa kisha inatunzwa kwa uchu mkubwa kama huamini tafuta mtu mwenye mali akupe somo, na hiyo ni kanuni ya kuwa na mali.

Mali sio kitu cha mchezomchezo. Ndio maana unaskia watu wanagombea hatua hata mbili kwenye mipaka ya viwanja mali sio MATAKO KWAMBA KILA MTU AWE NAYO.

MALI NI VITA,MWANAUME LAZIMA UWE NA MALI.NA ILI UWE NA MALI INABIDI UWE NGANGARI!!!
 
Mali zilindwe ila isifikie kuuwana
Maana tutawaathiri watoto na pia maisha yetu binafsi
 
Upo vizuri.Ingawa si sana katika kujilinda.Je,unawezaje kuilezea njaa ilivyo wakati haujawahi kusikia njaa wala kula,boss!?
Tupo hapa tunasubiri siku my wife wako atakapokupa KELBU YA SHINGO😄😄😄 tukupe pole za kinafki.

📌MWENZAKO KWEKA ALIKUWA ANAONA SISI KATAA NDOA KAMA MACHIZI ILA LEO YUKO KOROKORONI ANATAMANI ANGEKUWA NA UHURU KAMA WA GREAT THINKERS KATAA NDOA.
 
Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga.

Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa umekuja kuzurura au ni nini???

Kama huwezi mbaga za ndoa bora uwe serious bachelor.Hakuna mantiki ya kuvuja jasho na sometimes damu alafu uje uigawe kirahisirahisi hiyo mali.

Ni muda muafaka sasa nchi yetu ikapeleka MUSWADA BUNGENI KUHUSU SHERIA ZA MALI KWA WANANDOA(PRENUP) HII ITAPUNGUZA UJASIRIANDOA NA JANJAJANA.MAANA SIKUIZI HAKUNA MAPENZI WATU WAKO KAZINI WANACHIVAYOCHIVAYO ILIMRADI WAPATE MALI KIURAHISI BILA KUVUJA JASHO.
100% mimi ni mwanachama wako! Kudadeki kidumu chama cha wagumu!💪💪💪💪
 
Wanaume design rako ni wazururaji hapa duniani.

Mali inatafutwa kisha inatunzwa kwa uchu mkubwa kama huamini na hiyo ni kanuni ya kuwa na mali.

Mali sio kitu cha mchezomchezo. Ndio maana unaskia watu wanagombea hatua hata mbili kwenye mipaka ya viwanja mali sio MATAKO KWAMBA KILA MTU AWE NAYO.

MALI NI VITA,MWANAUME LAZIMA UWE NA MALI.NA ILI UWE NA MALI INABIDI UWE NGANGARI!!!
Kuihitaji mali na kuwa na mawazo kama yako bila fikra chanya na hekima,ndiyo uzurulaji wenyewe huo.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Wanaume design rako ni wazururaji hapa duniani.

Mali inatafutwa kisha inatunzwa kwa uchu mkubwa kama huamini na hiyo ni kanuni ya kuwa na mali.

Mali sio kitu cha mchezomchezo. Ndio maana unaskia watu wanagombea hatua hata mbili kwenye mipaka ya viwanja mali sio MATAKO KWAMBA KILA MTU AWE NAYO.

MALI NI VITA,MWANAUME LAZIMA UWE NA MALI.NA ILI UWE NA MALI INABIDI UWE NGANGARI!!!
Mtafungwa sana na mali mtabaki kuzitazama kwa macho tu, na watoto mtaacha wakiwa.
 
Wanaume design yako ni wazururaji hapa duniani.

Mali inatafutwa kisha inatunzwa kwa uchu mkubwa kama huamini tafuta mtu mwenye mali akupe somo, na hiyo ni kanuni ya kuwa na mali.

Mali sio kitu cha mchezomchezo. Ndio maana unaskia watu wanagombea hatua hata mbili kwenye mipaka ya viwanja mali sio MATAKO KWAMBA KILA MTU AWE NAYO.

MALI NI VITA,MWANAUME LAZIMA UWE NA MALI.NA ILI UWE NA MALI INABIDI UWE NGANGARI!!!
Watu wana mitazamo tofauti kuhusu mali. Siyo lazima kila mtu awe na mtazamo kama huu.
 
Tupo hapa tunasubiri siku my wife wako atakapokupa KELBU YA SHINGO😄😄😄 tukupe pole za kinafki.

📌MWENZAKO KWEKA ALIKUWA ANAONA SISI KATAA NDOA KAMA MACHIZI ILA LEO YUKO KOROKORONI ANATAMANI ANGEKUWA NA UHURU KAMA WA GREAT THINKERS KATAA NDOA.
Kukataa ndoa ni "escapism" isiyo na tija.Unaikimbia asili ili ugundue kipi?Ndoa ni taasisi ya watu wenye akili nyingi,njema na zinazofanya kazi kwa hesabu za tija.Naamini umeelewa anayekataa ndoa yupo upande upi,good man!
 
Back
Top Bottom