WANAUME LINDENI MALI ZENU.HAPA DUNIANI MALI NDO UTAMBULISHO WA MWANAUME.

Kukataa ndoa ni "escapism" isiyo na tija.Unaikimbia asili ili ugundue kipi?Ndoa ni taasisi ya watu wenye akili nyingi,njema na zinazofanya kazi kwa hesabu za tija.Naamini umeelewa anayekataa ndoa yupo upande upi,good man!
📌BONGE CHIVAYO ALIKATAA KUFATA NATURE KWENYE KUTAFUTA MALI.AKAAMUA AWE MPIGA DILI.

AMEPIGA DILI AMEPATA HELA AMETIMIZA VINGI AMBAVYO VILIKUWA NI NDOTO YAKE KISHA AKASEPA.

MAISHA HAYANA FORMULA, USIKARIRI LAZIMA KILA MTU AFATE SCRIPT.SISI WENGINE TUMEKUJA KUENJOY TULE MAISHA TUFE.

HAKUNA HABARI YA NATURE WALA UFALA KAMA HUO.MMEKARIRISHWA KUTESEKA NDIO MAISHA 😄😄😄.
 
Unamuelezea Wiknell Chivayo,nadhani!Yule alikuwa na mke alimuita Lulu.Au ni Chivayo wa Luguruni, muheshimiwa!?
 
Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga.

Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa umekuja kuzurura au ni nini???

Kama huwezi mbaga za ndoa bora uwe serious bachelor.Hakuna mantiki ya kuvuja jasho na sometimes damu alafu uje uigawe kirahisirahisi hiyo mali.

Ni muda muafaka sasa nchi yetu ikapeleka MUSWADA BUNGENI KUHUSU SHERIA ZA MALI KWA WANANDOA(PRENUP) HII ITAPUNGUZA UJASIRIANDOA NA JANJAJANA.MAANA SIKUIZI HAKUNA MAPENZI WATU WAKO KAZINI WANACHIVAYOCHIVAYO ILIMRADI WAPATE MALI KIURAHISI BILA KUVUJA JASHO.
Kuna ulazima gani Mke wako ajue hati miliki ya mali zako zote, huoni kihere here chako ndiyo kinachokuponza?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Kumbe jamaa ni bachelor, sikusoma vizuri. Hatuna cha kujadiliana nae.
MIMI SINA CHA KUJADILIANA NA NYIE MANAMBA(SLAVES).GO WORK FOR YOUR MASTERS( WIFES).

HAKUNA CHA ZAIDI MTACHOPATA.MTATUMIKA KUWALEA WATOTO NA MAMA ZAO KISHA NATURE WILL TAKE ITS PLACE.MTAKUWA DISPLACED NA WATOTO WATAUNGANA NA MAMA ZAO.HUU NI UKWELI MCHUNGU WANAUME WENGI MABWEGE WANADHANI WANAWEZA KUUBADILI😄😄😄

NYIE MANAMBA JUST IN CASE YOU MISSED THE LECTURE. HAKUNA CHA WATOTO WAKO AU MALI ZAKO AS LONG AS UMEINGIA KWENYE MTEGO WA NDOA.JIPANGE UFICHE KAAKIBA KATAKUOKOA SIKU ISIYO NA JINA.

WANAWAKE NI MANIPULATORS.KWEKA MWENYEWE HAAMINI KAMA KAMLAMBA MTU SHABA!!!
 
Wewe ninependa kukuita mchoyo,mbinafsi,roho mubaya, masikini wa fikra na maamuma tu, lakini nitakuwa nakosea.Sijakuita hivyo ila wewe ni muoga down under!
 
😂😂😂
Nacheka kama mazuri ila ndo ukweli wenyewe. Wanaume wengi ni Watumwa wa Hiyari wa Wake zao.
Na kauli za kujifariji ni kwamba huyu mke kanibadirisha sana nilikuwa nalewa tu baada ya kumpata nimeanza kufanya maendeleo.
Mtumwa anamsifia master wake.
 
Unauwezo mdogo wa kung'amua mada.

Nimemuelezea CHIVAYO kwenye aspect ya kutafuta mali kuwa hakufata nature bali alifata short cut ya kupiga DILI.UWE UNASOMA NA KUELEWA!!!
Basi,uhusiano wa Chivayo na maelezo/fikra zako hazikuoana kabisa.Ungetumia "jina" kiwakilishi kingine,kwa mfano ungejiita Kalumekenge.Ndiyo.Ingeswihi mkuu.
 
Wewe ninependa kukuita mchoyo,mbinafsi,roho mubaya, masikini wa fikra na maamuma tu, lakini nitakuwa nakosea.Sijakuita hivyo ila wewe ni muoga down under!
📌MIMI NI MCHOYO,MBINAFSI NA ROHO MBAYA KWELI.

📌MIMI SIO MASKINI NI MTANZANIA MWENYE KIPATO CHA UCHUMI WA KATI JUU.

DUNIA HAIHITAJI WEMA WAKO, INAHITAJI UJASIRI NA NIA YAKO YA DHATI ILI USURVIVE!!!

😂😂😂
Nacheka kama mazuri ila ndo ukweli wenyewe. Wanaume wengi ni Watumwa wa Hiyari wa Wake zao.
Na kauli za kujifariji ni kwamba huyu mke kanibadirisha sana nilikuwa nalewa tu baada ya kumpata nimeanza kufanya maendeleo.
Mtumwa anamsifia master wake.
✅Mimi najua maandiko haya yanawaingia vilivyo ni vile wanaume huwa tunakaubishi flani hivi kaasili ili tu usionekane umekubali kirahisi😄😄😄
 
📌MIMI NI MCHOYO,MBINAFSI NA ROHO MBAYA KWELI.

📌MIMI SIO MASKINI NI MTANZANIA MWENYE KIPATO CHA UCHUMI WA KATI JUU.

DUNIA HAIHITAJI WEMA WAKO, INAHITAJI UJASIRI NA NIA YAKO YA DHATI ILI USURVIVE!!!
Ku-survive hakuhitaji mambo mengi zaidi ya kulisha tumbo.Hayo unayoyataka ni maisha ya anasa, ufahari,kujioneshaonesha na kujimwambafy tu.
 
Umeprove point ya jamaa ya kwamba wanawake ni manipulators. Hizo sifa ulizozitaja ndo mnazowapachika wanaume ili muwafanye watumwa wenu
Kama umeandika kwa kupindisha mwandiko hivi!Naandika na nampa mawazo nikiwa Baba,kaka,mjomba au jamaa aliyeoa na ana uzoefu wa maisha hayo.Umeelewa nilichokiandika?Haya,nieleze ulikuwa unaniwazia mimi kama nani?
 
Ku-survive hakuhitaji mambo mengi zaidi ya kulisha tumbo.Hayo unayoyataka ni maisha ya anasa, ufahari,kujioneshaonesha na kujimwambafy tu.
Ila wanawake wakijimwambafy baada ya kuwaacha wanaume maskini ni sawa? Hivi ni wanawake wangapi wamewahi kuwa maskini baada ya ndoa na wanaume wangapi ndoa zimewaacha fukara wa kutupwa? Wanawake nyie kiasili ni wabinafsi, hamna huruma na wala hamjali.
 
Ku-survive hakuhitaji mambo mengi zaidi ya kulisha tumbo.Hayo unayoyataka ni maisha ya anasa, ufahari,kujioneshaonesha na kujimwambafy tu.
Kweka anajua namaanisha nini wewe endelea kumtumika bwana wako( mkeo)!!!

Huyo bwana wako( mkeo) anakulia timing aje akubagaze na kukubamiza kisawasawa.

ELEWA KUWA MAMA YAKO PEKEE NDIO MWANAMKE ANAKUPENDA HATA UMKOSEE VIPI.HAO WENGINE WAPO KUTIMIZA HAJA ZAKO,USIJISAHAU SANA.

📌📌📌DAIMOND,RONADO NA MATAJIRI WENGINE SIO WAJINGA MALI WAKAWAANDIKA MAMA ZAO!!!!
 
Kama umeandika kwa kupindisha mwandiko hivi!Naandika na nampa mawazo nikiwa Baba,kaka,mjomba au jamaa aliyeoa na ana uzoefu wa maisha hayo.Umeelewa nilichokiandika?Haya,nieleze ulikuwa unaniwazia mimi kama nani?
Nakuwazia kama mwanamke au mtumwa wa mwanamke. Kama wewe ni mwanaume kweli ungemwelewa alichokiandika mleta mada.
 
Back
Top Bottom