Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Hiyari ya moyo.Ila naomba Mungu nisiwe mtumwa wa mtu anayeitwa mwanamke.

SAWA UNAIPAMBANIA HIYO MALI KIJINGA ALAFU UNAUA..UNAFUNGWA..HAPO AKILI IKO WAPI?!Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga.
Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa umekuja kuzurura au ni nini???
Kama huwezi mbaga za ndoa bora uwe serious bachelor.Hakuna mantiki ya kuvuja jasho na sometimes damu alafu uje uigawe kirahisirahisi hiyo mali.
Ni muda muafaka sasa nchi yetu ikapeleka MUSWADA BUNGENI KUHUSU SHERIA ZA MALI KWA WANANDOA(PRENUP) HII ITAPUNGUZA UJASIRIANDOA NA JANJAJANA.MAANA SIKUIZI HAKUNA MAPENZI WATU WAKO KAZINI WANACHIVAYOCHIVAYO ILIMRADI WAPATE MALI KIURAHISI BILA KUVUJA JASHO.
Ndugu punguza mhemko soma mada na uielewe🙏Sawa
SAWA UNAIPAMBANIA HIYO MALI KIJINGA ALAFU UNAUA..UNAFUNGWA..HAPO AKILI IKO WAPI?!
Sisi tunaolelewa na mishangazi huu Uzi hautuhusu ama ?Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga.
Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa umekuja kuzurura au ni nini???
Kama huwezi mbaga za ndoa bora uwe serious bachelor.Hakuna mantiki ya kuvuja jasho na sometimes damu alafu uje uigawe kirahisirahisi hiyo mali.
Ni muda muafaka sasa nchi yetu ikapeleka MUSWADA BUNGENI KUHUSU SHERIA ZA MALI KWA WANANDOA(PRENUP) HII ITAPUNGUZA UJASIRIANDOA NA JANJAJANA.MAANA SIKUIZI HAKUNA MAPENZI WATU WAKO KAZINI WANACHIVAYOCHIVAYO ILIMRADI WAPATE MALI KIURAHISI BILA KUVUJA JASHO.
Mnagawana tu mlichozalisha wote na si vingenevyo.Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga.
Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa umekuja kuzurura au ni nini???
Kama huwezi mbaga za ndoa bora uwe serious bachelor.Hakuna mantiki ya kuvuja jasho na sometimes damu alafu uje uigawe kirahisirahisi hiyo mali.
Ni muda muafaka sasa nchi yetu ikapeleka MUSWADA BUNGENI KUHUSU SHERIA ZA MALI KWA WANANDOA(PRENUP) HII ITAPUNGUZA UJASIRIANDOA NA JANJAJANA.MAANA SIKUIZI HAKUNA MAPENZI WATU WAKO KAZINI WANACHIVAYOCHIVAYO ILIMRADI WAPATE MALI KIURAHISI BILA KUVUJA JASHO.
Kwa mama ulizaliwa peke yako? Ndio unakuta mama anafariki ghafla, malo unagawana na ndugu zako. Mali za watoto zinageuka za ukoo.Mimi binafsi siwezi Fanya Hilo kosa. Hati zote ni Kwa jina la mama yangu then Mimi ntabakia na pumbu tu. Wakisema tugawane sikatai naenda mahakamani nikiwa na uanaume wangu tu.
Wewe ndio mwanaume dhaifu. Hapa Tanzania sio kila mwanamke kwenye ndoa ana tamaa ya kutaka mgawane mali, huo ndio ukweli .Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga.
Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa umekuja kuzurura au ni nini???
Kama huwezi mbaga za ndoa bora uwe serious bachelor.Hakuna mantiki ya kuvuja jasho na sometimes damu alafu uje uigawe kirahisirahisi hiyo mali.
Ni muda muafaka sasa nchi yetu ikapeleka MUSWADA BUNGENI KUHUSU SHERIA ZA MALI KWA WANANDOA(PRENUP) HII ITAPUNGUZA UJASIRIANDOA NA JANJAJANA.MAANA SIKUIZI HAKUNA MAPENZI WATU WAKO KAZINI WANACHIVAYOCHIVAYO ILIMRADI WAPATE MALI KIURAHISI BILA KUVUJA JASHO.
HUNA AKILI!!!Wewe ndio mwanaume dhaifu. Hapa Tanzania sio kila mwanamke kwenye ndoa ana tamaa ya kutaka mgawane mali, huo ndio ukweli .
Tunapinga ile inakutokea mara ya kwanza umeoa mwanamke mwenye tamaa ya kutaka kugawana mali wewe unachukua uamuzi wa kuua. Kumuachia mke nyumba au mali zozote ni uamuzi wa mwanaume lakini mnaweza mkagawana kisheria na sio kuua.
Kwamba wanaume wote tufuate mawazo yako hata kama ya kijinga ? Kwamba wewe ni SI unit ya wanaume?HUNA AKILI!!!
📌NARUDIA TENA, HUNA AKILI!!!
📌WE KOPO HUNA AKILI!Kwamba wanaume wote tufuate mawazo yako hata kama ya kijinga ? Kwamba wewe ni SI unit ya wanaume?
Usichojua ni kwamba wanaume wengi wanaowachia mali wanawake na kuanza upya wengi wanajivua nguvu waliyonayo kwamba watapata tena, wengine unakuta wana ajira strong, wengine wana biashara strong, wengine wana mali nyingi kiasi kwamba akimuachia baadhi ya mali hamna shida.
Sasa kujiuiliza kuwa utawaachia wanawake mali mpaka lini? Kwamba uoe mwanamke wa kwanza, wa pili, wa tatu wote wana tamaa ya kugawana mali, ujue wewe ni mwanaume poyoyo.
Huna akili kama una ua kisa mali.
nincompoop📌WE KOPO HUNA AKILI!