Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
- Thread starter
-
- #41
Huna uzoefu wowote hakuna anayemjua kiumbe MWNAMKE. Hiyo imeandikwa mpaka kwenye vitabu vya dini.Kama umeandika kwa kupindisha mwandiko hivi!Naandika na nampa mawazo nikiwa Baba,kaka,mjomba au jamaa aliyeoa na ana uzoefu wa maisha hayo.Umeelewa nilichokiandika?Haya,nieleze ulikuwa unaniwazia mimi kama nani?
Nina nini zaidi ya kukuhurumia jinsi ulivyokariri mambo na kujilisha upepo?Wewe ni muoga tu ambaye ukishikwa na nyegezz unatia huruma mwili mzima.Badilisha mitazamo hasi hiyo.Kweka anajua namaanisha nini wewe endelea kumtumika bwana wako( mkeo)!!!
Huyo bwana wako( mkeo) anakulia timiing aje akubamize kisawasawa.
ELEWA KUWA MAMA YAKO PEKEE NDIO MWANAMKE ANAKUPENDA HATA UMKOSEE VIPI.HAO WENGINE WAPO KUTIMIZA HAJA ZAKO,USIJISAHAU SANA.
📌📌📌DAIMOND,RONADO NA MATAJIRI WENGINE SIO WAJINGA MALI WAKAWAANDIKA MAMA ZAO!!!!
Acha kubahatisha watu kama unavyobahatisha msisha yako.Una muda wa hayo.Nakuwazia kama mwanamke au mtumwa wa mwanamke. Kama wewe ni mwanaume kweli ungemwelewa alichokiandika mleta mada.
Umeniuliza na nimekujibu. Nilichokioeleza kinaendana na hoja zako unazozileta. Kwa hizo hoja wewe ni mwanamke au mtumwa wa mwanamke fulani unayemuita mke wako.Acha kubahatisha watu kama unavyobahatisha msisha yako.Una muda wa hayo.
Kwa umri huu,wewe mtu muogamuoga uje unipe somo? Aaaaargh...acha utani basi,ndugu!Huna uzoefu wowote hakuna anayemjua kiumbe MWNAMKE. Hiyo imeandikwa mpaka kwenye vitabu vya dini.
Acha kujipofusha siku zako zinakuja utakuja kufukua huu uzi.
📌Bwashee upo kwenye COMFORT ZONE stuka kumekucha!!!!
Haujajibu.Nimekupa jibu ndiyo ukapita nalo.Avatar ilikupoteza boya.Umeniuliza na nimekujibu.
Tafiti zinasema wanandoa wengi wanaongoza kunyimwa unyumba😄😄😄.Labda kama umeoa juzi ila wenzako wamepangiwa na ratiba kabisa na wanauziwa unyumba.Nina nini zaidi ya kukuhurumia jinsi ulivyokariri mambo na kujilisha upepo?Wewe ni muoga tu ambaye ukishikwa na nyegezz unatia huruma mwili mzima.Badilisha mitazamo hasi hiyo.
Nimejibu kulingana na hoja zakoHaujajibu.Nimekupa jibu ndiyo ukapita nalo.Avatar ilikupoteza boya.
Huo utafiti uliwekewa asilimia?Ziweke nikuelekeze.Tafiti zinasema wanandoa wengi wanaongoza kunyimwa unyumba😄😄😄.Labda kama umeoa juzi ila wenzako wamepangiwa na ratiba kabisa na wanauziwa unyumba.
Kaa kimasta UCHI ni slaa kwa MWANAMKE.Na akishakuweka mkononi( UKISHAMUOA) ataitumia kila mara atakapo jambo lake.
Kaa kwa kutuli mjomba, unaonekana huwajui vizuri wanawake.Nahisi hata huyo mke ulitaftiwa.
Na,hizo hoja kwenye muundo wa mwandiko zikawa zinakuonesha jinsi ya mwandishi kama ni ke au me,sivyo?Nimejibu kulingana na hoja zako
Huyu ni mtumwa wa mke wake ila nahisi ni mwanamkeTafiti zinasema wanandoa wengi wanaongoza kunyimwa unyumba😄😄😄.Labda kama umeoa juzi ila wenzako wamepangiwa na ratiba kabisa na wanauziwa unyumba.
Kaa kimasta UCHI ni slaa kwa MWANAMKE.Na akishakuweka mkononi( UKISHAMUOA) ataitumia kila mara atakapo jambo lake.
Kaa kwa kutuli mjomba, unaonekana huwajui vizuri wanawake.Nahisi hata huyo mke ulitaftiwa.
Mimi binafsi siwezi Fanya Hilo kosa. Hati zote ni Kwa jina la mama yangu then Mimi ntabakia na pumbu tu. Wakisema tugawane sikatai naenda mahakamani nikiwa na uanaume wangu tu.Mtafungwa sana na mali mtabaki kuzitazama kwa macho tu, na watoto mtaacha wakiwa.
Sehemu kubwa zinaonesha wewe ni keNa,hizo hoja kwenye muundo wa mwandiko zikawa zinakuonesha jinsi ya mwandishi kama ni ke au me,sivyo?
Una changamoto sana.Let us say,ni "mwanamke"!Kwa hiyo,kila ukimuangalia mama yako mzazi,unamuona ni mjinga,mwizi,mnyonyaji,mbahatishaji,kigeugeu na mambo yote mabaya unampa,sivyo?Huyu ni mtumwa wa mke wake ila nahisi ni mwanamke
Basi,nihitimishe bila nukta kwamba,uwezo wako wa kufikiria uliorithi kutoka kwa mama yako ni duni sana ingawa sijaandika kama mama yako mzazi ni mjingamjinga tu.Sehemu kubwa zinaonesha wewe ni ke
There you are. Mama yangu alitimiza wajibu wake kunizaa. Ila hawezi kuwa benchmark ya mimi kufikiri na kutenda. Mmetumia neno mama kuwafanya watu kuwa watumwa wenu. Kwenye huo mtego mimi nitoe, hadhi ya mama itabaki ila mama naye ni binadamu kama wengine. Ni wamama wangapi wametupa vichanga? Ni wamama wangapi wanatumia watoto kama vitega uchumi?Una changamoto sana.Let us say,ni "mwanamke"!Kwa hiyo,kila ukimuangalia mama yako mzazi,unamuona ni mjinga,mwizi,mnyonyaji,mbahatishaji,kigeugeu na mambo yote mabaya unampa,sivyo?
NB:Unajua kama asilimia 80 ya uwezo wako wa kufikiria umeuchukua kwa huyohuyo mama yako?
Huwezi kujikwepa ulivyo na asili yako.Wewe ndiye wewe tu.Maneno au kujiremba hakukubadilishi kitu.There you are. Mama yangu alitimiza wajibu wake kunizaa. Ila hawezi kuwa benchmark ya mimi kufikiri na kutenda. Mmetumia neno mama kuwafanya watu kuwa watumwa wenu. Kwenye huo mtego mimi nitoe, hadhi ya mama itabaki ila mama naye ni binadamu kama wengine. Ni wamama wangapi wametupa vichanga? Ni wamama wangapi wanatumia watoto kama vitega uchumi?
Mali binafsi zinapaswa kutambulika kwa wanandoa wote na mali za pamoja zinapaswa kutambulika na wazazi wa pande zote wajue hivyo.Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga.
Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa umekuja kuzurura au ni nini???
Kama huwezi mbaga za ndoa bora uwe serious bachelor.Hakuna mantiki ya kuvuja jasho na sometimes damu alafu uje uigawe kirahisirahisi hiyo mali.
Ni muda muafaka sasa nchi yetu ikapeleka MUSWADA BUNGENI KUHUSU SHERIA ZA MALI KWA WANANDOA(PRENUP) HII ITAPUNGUZA UJASIRIANDOA NA JANJAJANA.MAANA SIKUIZI HAKUNA MAPENZI WATU WAKO KAZINI WANACHIVAYOCHIVAYO ILIMRADI WAPATE MALI KIURAHISI BILA KUVUJA JASHO.
Ila naomba Mungu nisiwe mtumwa wa mtu anayeitwa mwanamke.Huwezi kujikwepa ulivyo na asili yako.Wewe ndiye wewe tu.Maneno au kujiremba hakukubadilishi kitu.
Maisha ya kuviziana.Mnawaza kuachana kabla ya kuishi pamoja?Mali binafsi zinapaswa kutambulika kwa wanandoa wote na mali za pamoja zinapaswa kutambulika na wazazi wa pande zote wajue hivyo.
Kila mmoja akubali ukweli kisicho chake asilazimishe kiwe chake!!!
Wanandoa Mungu awape hekima na busara wayaishi kwa uhalisia maisha ya ndoa.