WANAUME LINDENI MALI ZENU.HAPA DUNIANI MALI NDO UTAMBULISHO WA MWANAUME.

Sawa SAWA UNAIPAMBANIA HIYO MALI KIJINGA ALAFU UNAUA..UNAFUNGWA..HAPO AKILI IKO WAPI?!
 
Sisi tunaolelewa na mishangazi huu Uzi hautuhusu ama ?
 
Mnagawana tu mlichozalisha wote na si vingenevyo.
 
Mimi binafsi siwezi Fanya Hilo kosa. Hati zote ni Kwa jina la mama yangu then Mimi ntabakia na pumbu tu. Wakisema tugawane sikatai naenda mahakamani nikiwa na uanaume wangu tu.
Kwa mama ulizaliwa peke yako? Ndio unakuta mama anafariki ghafla, malo unagawana na ndugu zako. Mali za watoto zinageuka za ukoo.
 
Wewe ndio mwanaume dhaifu. Hapa Tanzania sio kila mwanamke kwenye ndoa ana tamaa ya kutaka mgawane mali, huo ndio ukweli .

Tunapinga ile inakutokea mara ya kwanza umeoa mwanamke mwenye tamaa ya kutaka kugawana mali wewe unachukua uamuzi wa kuua. Kumuachia mke nyumba au mali zozote ni uamuzi wa mwanaume lakini mnaweza mkagawana kisheria na sio kuua.
 
HUNA AKILI!!!

📌NARUDIA TENA, HUNA AKILI!!!
 
HUNA AKILI!!!

📌NARUDIA TENA, HUNA AKILI!!!
Kwamba wanaume wote tufuate mawazo yako hata kama ya kijinga ? Kwamba wewe ni SI unit ya wanaume?

Usichojua ni kwamba wanaume wengi wanaowachia mali wanawake na kuanza upya wengi wanajivua nguvu waliyonayo kwamba watapata tena, wengine unakuta wana ajira strong, wengine wana biashara strong, wengine wana mali nyingi kiasi kwamba akimuachia baadhi ya mali hamna shida.

Sasa kujiuiliza kuwa utawaachia wanawake mali mpaka lini? Kwamba uoe mwanamke wa kwanza, wa pili, wa tatu wote wana tamaa ya kugawana mali, ujue wewe ni mwanaume poyoyo.

Huna akili kama una ua kisa mali.
 
📌WE KOPO HUNA AKILI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…