MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
kumbe na ww umo
hahaha bas naacha mkuu hamkawii kutufungulia nyuzi mapoyoyo nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe na ww umo
Hivi mganga jicho lako si litaniona mpaka nyumbani?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ahaa saiv nikitoa biashara kadi jicho langu halitokuacha labda ukaichanie nyumbani kwako.
hapana me sio wa hvyo,twenzetu bas tukajiachiehahaha bas naacha mkuu hamkawii kutufungulia nyuzi mapoyoyo nyie
Mpe ya kwako mkuu pengine atapiga.
sasa mbn hako dawa yake ndogo sana mkuu !chonga dili na Dk akachome sindano ya usngiz ukakule !easy
Sio nyumbani tu mpaka kwa yule Tabibu mchepukaji.Hivi mganga jicho lako si litaniona mpaka nyumbani?
stak natakaakuu !
akuu !
Kwa tabibu umefeli big time..nilishajisevia kwa raha zanguSio nyumbani tu mpaka kwa yule Tabibu mchepukaji.
Unajua kuna mazingira unaweza kuomba namba ya mtu ama kubadilishana nambaWanawake wa siku hizi wengi - sio wote- hawaeleweki.
Hao hao wanataka usawa, zikija fursa za usawa kama za kuanza kumpigia mwanamme simu, hawataki usawa, wanataka mwanamme ndiye awe anaanza kupiga simu.
Kama mwanamke hataki usawa, na anataka mwanamme ndiye awe kiranja wa maisha yake, then akitaka mwanamme aanze kupiga simu sina tatizo, huyo kaamua kwamba mwanamme ndiye awe muanzishaji mambo.
No contradiction there.
Lakini kuna wengine wanataka usawa, halafu bado wanataka mwanamme ndiye awe muanzishaji kupiga simu.
Hawa bado sijawaelewa kama wanakwenda au wanarudi.
Hahaha Juzi nilikuwa kwenye graduation moja, ya darasa la 7. Basi nikatarget wadada kama watatu hivi. Environment ilikuwa mbaya kuflirt. So nikawa nasubiri waende sehemu ambayo haina watu sana.Nimekumbuka tu enzi hizo
Mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki,mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwa nini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue,
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili ,eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa,sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba,
Inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.
Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]![]()
Unatumia jina gan tigo pesaMie nasubiria hasa sms za m-pesa, tigopesa, halopesa, airtel money, hahahahahah nimemkumbuka mtani wangu miss chagga
jaman nimecheka sana jaman ! mie sipend kuombwa namba public! jaman unakuwa unajistukia tu !hebu wanaume halisi tengezeni business card jaman ! na sie tutengenezege mwee ! cc demi ,Neybright ,Heaven Sent ,espy ,Nalendwa ,Doris Gabriel ,babydoll
mhhhhhhh, Hiyo akuu ulivoitamka. Kama nakuona vile unavyobinua mdomo.
Assist ndio kikwazo dada yangu.Hahaaaa. Nimecheka sana.
Walio wengi watapita kimya kimya. Ila wanaume muwe mnapiga jamani pale mnapoomba namba na mkafanikiwa kupewa