Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

sasa mbn hako dawa yake ndogo sana mkuu !chonga dili na Dk akachome sindano ya usngiz ukakule !easy

Ha ha ha ubakaji huo, haitakuwa tamu.

Kale ni kukatafuna huku kanakupa ushirikiano, kanaonekana katamu mno
 
Wanawake wa siku hizi wengi - sio wote- hawaeleweki.

Hao hao wanataka usawa, zikija fursa za usawa kama za kuanza kumpigia mwanamme simu, hawataki usawa, wanataka mwanamme ndiye awe anaanza kupiga simu.

Kama mwanamke hataki usawa, na anataka mwanamme ndiye awe kiranja wa maisha yake, then akitaka mwanamme aanze kupiga simu sina tatizo, huyo kaamua kwamba mwanamme ndiye awe muanzishaji mambo.

No contradiction there.

Lakini kuna wengine wanataka usawa, halafu bado wanataka mwanamme ndiye awe muanzishaji kupiga simu.

Hawa bado sijawaelewa kama wanakwenda au wanarudi.
Unajua kuna mazingira unaweza kuomba namba ya mtu ama kubadilishana namba
Lakini kuna ile mtu stranger kabisa labda mmekutana tu barabarani anakuomba namba hata haujamaliza kushangaa
Huyo mtu anaondoka zake hapa inakua ngumi.
Na ulichosema ni sawa pia.
Huu usawa tunaousema ni mrahisi katika maneno siyo katika vitendo wanawake tumeumbiwa haya,
Hivyo mwanamke kuwa na ile nguvu ya kuomba namba nalo ni jambo jingine.
 
Nimekumbuka tu enzi hizo
Mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki,mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwa nini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue,
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili ,eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa,sijui aliomba ya nini mxieee"

Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba,
Inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.
Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.


Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
4b015155e1b3215f74aacab08cf5c8a8.jpg
Hahaha Juzi nilikuwa kwenye graduation moja, ya darasa la 7. Basi nikatarget wadada kama watatu hivi. Environment ilikuwa mbaya kuflirt. So nikawa nasubiri waende sehemu ambayo haina watu sana.

Wa kwanza akatoka, nikamfata, nakukimbia kote Kule, nikapiga vocal, sijamaliza tu, naona kioo cha X-trail kinashuka. 'Ndani!' Basi yule Dada akaniambia kaka atamind acha niende.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wapili, namuona anatoka nje na cake pamoja na graduate wake, mie namkaribia tu. Huyo kasepa na gari[emoji19] [emoji19] [emoji19] .

Watatu sasa, hapo graduation ilishaisha. Watu wachache. Huyu alikuwa na wamama wakubwa wengi. Tho mmoja ndio alikuwa nae karibu sana, nikaassume kuwa ni mama yake. Nikamtime mama asepe. Nikamfukuzia. Kumbe aliyeondoka ni Aunty, mama alikuwa kaketi[emoji23] [emoji23] [emoji23] Convo ilikuwa hivi;

Ghost: 'Hey mambo, naitwa Ghost. I say you from the gate, I thought you were really cute, and I had to come and tell you.' Hapo naongea kwa sauti cause kulikuwa na mziki. So mama alisikia yote.

X: 'Oh really, thank you.' Big smile

Ghost: 'Congratulations, where is your graduate?' Akanipointia. Nikampa hongera kijana.

Ghost: ' What about you? Are you in university?'

X: 'Yes, nasoma Waterloo university, Canada. And you?' Nikamjibu pamoja na fixi juu maana alionekana maji marefu.

Ghost: 'I really have to go, I would like to have your number, maybe we can hangout sometime.'

Kilichotokea. Akaangalia pembeni, alafu akaanza kusema 'mama yangu huyo.'. At this time mama kweli alikuwa amenipiga jicho anasikiliza.

X: 'No I can't give you my number. Thanks for asking tho.' Bonge la smile. Nikaona duh! Leo mission failed.

Ghost: ' What about Facebook?'

Akawa anaongea polepole 'mama'

Basi nikamuaga. Huyo nikasepa without a fish. All I heard was...

X: 'Thank you.'

Huyu X alikuwa kisu kweli. Anyway nikarudi simu phonebook outdated.
My point[emoji115] [emoji115] [emoji115] ? Nyie tengenezeni mazingira mazuri yakutongozwa. Sasa Huyu Dada mzima nae analalamika mama. Amemiss bonge la opportunity. Ningempigia same day alafu Monday tunaenda kupreorder IPhone 8[emoji12] [emoji12] [emoji12] .

Cc Wale wote mnaopata tabu kupiga vocal, tumia hizo line zangu, zitwist kidogo tu. Hazijawahi kufail. Unaweza kosa number but ni mazoezi tu. Just make the girl never forget the moment.


-callmeGhost
 
Back
Top Bottom