Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Mwenzenu weekend hii toka juzi jion ninelazimika kumsafirisha beki3 wangu toka kijijini kwao, about 260 km na mm kusafiri about 200km kwenda kula naye bata mji mwingine ambapo tungekuwa huru nimeinjoi sana na jion ya leo ndo nimerudi kwangu, nimeenjoy balaa the way alivyokuwa ananifanyia viituko kwenye basi, mara anilalie, mara anirembulie macho yake makubwa, yaan njia nzima alikuwa ananipa raha.
 
Hongera zako mzee huyo housegirl inaonekana umemuelewa sana
 
Muulize kama huyo mwenye mali akija gundua naye akalipa atakuja kutoa sifa humu, sio kwakumsifia beki3 hivi wakati una mke
Mwanaume hana dhambi ya uzinzi weye. Ndo maana tunaruhusiwa kuoa zaidi ya mwanamke mmoja, si katika uislam au ukristo. Mungu hajazuia mume kuoa wake wengi. So ikigundulika natafuna basi namwambia kuanzia leo ni mke mwenzako so itabidi akubali tu maana mm ndo nimeamua. Akiona ngumu kumeza basi amwachie beki tatu usukani
 
Huyo ndiye beki 3 pekee Mgumba
 
Mkuu mstari gani kwenye biblia umeandika hivyo
 
**** ni **** tu hata km ni kichaa au taahira potelea mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…