Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

ni wanawake 2 kati ya 1000 ndiyo hawashindikani na ni sababu ya umaskini na kutokuwa na mwelekeo ......mwanamke akisha kuwa matawi ya juu harekebishiki ...wanawake wenye uwezo halafu wakawa wasikivu kwa waume zao ni 1:100,000

Wewe hao wa matawi ya juu kama hulingani nae waachie matawi ya juu wenzao, na wewe utafute matawi ya chini kama wewe.

Usivae kiatu kisichokutosha

Tafuta wa kufanana nae
 
Unashadidia ujinga tuu na kuendekeza ufuska, hivi mfumo wa maisha ya sasa yalivyo ya kuhangaika mtu unakuta mwenzio kaenda masomoni au kikazi au kibiashara mbali na wewe ndiyo usiende kutafuta kisa kulinda mke asigongwe? Mtu kapata dhamana katiwa ndani miezi au mwaka kama wale mashehe wa uamsho na wengine wengi tuu ndiyo utaenda kujiuza kabisa?? Majuzi hapa tumeona changamoto kwenye serikali kuhamia Dodoma kwa wafanyakazi waliokuwa Dar ambapo mume na mke wana kazi tofauti na uhamisho wa haraka ni vigumu je hapo utamwambia mke aache kazi akufuate? Mtu mhuni ni mhuni tuu...
 
Sioni kosa akisaidia kumtoa hamu huyo dada, wanaume wengi huwa wanajifanyaga busy na kazi hata mda na mke hawana Sasa unategemea nini, na hivi sikuhizi wanaume Wana nguvu kiduchu za kiume ndio haswa wanawake watachepuka sana na watu wakuwaridhisha
Sasa kwa nini usimuache ukaenda kwa anayekuridhisha? Yaani mtu ana nguvu kiduchu badala ya kumuacha uende kwa mwenye kutumia vumbi la Kongo bado unaye tuu [emoji12][emoji12]
 
wanaume wengi huwa wanajifanyaga busy na kazi hata mda na mke hawana Sasa unategemea nini
Kwamba tunajifanya tupo busy, ila sio kwamba tupo busy kweli...please EXPAND???
 

Punguza povu Igogondwa halafu rudi kasome post ili uelewe kabla hujalalamika eti nashadadia ujinga.
Maana sasa unaonekana wewe nawe mzembemzembe tu mwanaume usiyeweza kusimamia nafasi yako

Povu likizidi pita wodi namba3 upate💊💉

Nesi wa zamu nipo kukuhudumia
 
Sasa kwa nini usimuache ukaenda kwa anayekuridhisha? Yaani mtu ana nguvu kiduchu badala ya kumuacha uende kwa mwenye kutumia vumbi la Kongo bado unaye tuu [emoji12][emoji12]
Simuachi ng'o maana huo ni udhaifu mdogo sana sio wakuacha mtu
 
Kwamba tunajifanya tupo busy, ila sio kwamba tupo busy kweli...please EXPAND???
Wanaume wengi huwa mnapenda kazi sana na kujisahau kutenga mda wa kuwa na familia mnafikiri mkishampa mke pesa na msosi na kulipa ada inatosha
 
All in all unapowala kumbuka kwamba mke was mtu sumu.
 
Nakupa like
 
Kila mtu a play part yake sio Mimi mwanamke nijichoshe kumfuraisha mtu mzima mwenzangu never on earth hana nguvu za kiume Hilo ni tatizo lake na saikolojia yake siwezi kumsubiria mda wote huku nikifa na ugwadu wangu loh
Mbona wenye nguvu za kiume na mishipi ya haja tupo mnang'ang'ania nn kwa hao wala chips mayai, we cariha kama vp nitafute utakojozwa mpaka ufurahi
 
Amber rutty yako ipo shakani
 
We ni chawa kwenye hiyo familia na unaifuatilia sn aisee
 
Wanaume wengi huwa mnapenda kazi sana na kujisahau kutenga mda wa kuwa na familia mnafikiri mkishampa mke pesa na msosi na kulipa ada inatosha
Da kmmmk cariha aliyekuowa ana kazi sn embe njoo kwangu nikupe pipe ya kutosha usuuzike inaonesha mumeo hakuridhishi
 
Mwanamke ukisha muoa .. anakua mjinga mara saba zaidi kuliko ambavyo alikua kabla hujamuoa.. Wewe oa naishi nae karibu ndio utajua wana akili au hawana..na ulete mrejesho hapa..
 
-The line between right and wrong nowadays it's hazy

-what unafanya actually ni infidelity no matter what supporting point unaitoa

-bad enough mnaingia kwenye ndoa hasa watt wa kike kwa kuwa na akili finyu kuwa fu**ng is all that matters kwenye ndoa

- nyie mnaochepuka kwenye ndoa what's the part of the oath hamkuelewa "kuwa I'll be with you no matter what"

-if u don't love him ondokaaa,, natafuta ada ya watoto and what unawaza it's fckng tu

No matter what kitatokea on my marriage nkimshika huyo umbwa atakuwa homosapiens wa kwanza africa kutoa ushuhuda wa black sites
 
endelea na tabia yako , wato*mbee haohao wanaume wa dar , ila waswahili wanasema " Ngoma ikiwamba sana ujue inakaribia kupasuka""

kifilo kinakukaribiaa ,soon ukalia UKUNI

endeleaa

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…