Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

Kwa sababu tunawapenda sana sasa kuwauzi na kuwaacha kisa hako ka tatizo it's not fair
Aaaah kuwapenda gani huko wkt mnawaanika humu kuwa hawawaridhishi hapo mtakuwa mnafanya maigizo tu ila ukweli ni kwamba mna mengi moyoni lkn mnaogopa kuwaeleza

Njoo upate raha ya dunia tunaishi mara moja tu, kumvumilia mtu ambaye unajua tatizo lake ni la kudumu, ni sawa na kusubili meli airport
 
Kuna wanaotumia muda kwa michepuko na kusahau wake zao......



Wacha wapigiwe tu!!!!
Wanaume wengi huwa mnapenda kazi sana na kujisahau kutenga mda wa kuwa na familia mnafikiri mkishampa mke pesa na msosi na kulipa ada inatosha
 
Wanawake wote wanaoliwa nje ya ndoa zao,ni kwamba wanaume zao hawatimizi majukumu yao ndani ya ndoa zao?? Jibu ni hapana! Nina rafiki yangu,ni mtu mwenye pesa zake tu,na anatunza mke na watoto wake,kila kitu Mme wake anampa,likizo wanaenda nje kutembea,watoto wanasoma shule nzuri tu,ana nyumba nzuri yakuishi,nyingine za biashara,hadi wana hotel pale mkoani ............ Lakini mwanamke ni malaya balaa!

Hivi kama nikutimiza majukumu,kipi kimewatenganisha Bill Gates na Melinda??
 
Tunawapenda na kuwajali hatuwaachi ng'o hyo ya kusubiria meli airport imenifuraisha
 

Anayemchagua mwanamke wa kumuoa ni mwanaume mwenyewe. Sasa kama uchaguzi wako uliangukia kwa mwanamke unayemuita mal%ya inabidi uvumilie tuu hamna namna

Pesa na mali zinamsaidia mume kutimiza majukumu ila anayeoa ni mwanaume
Mwanaume wa kuweza kuongoza familia

Hilo la bilgate na melinda ndio likufundishe kwamba mwanamke anaolewa na mwanaume haolewi na vitu wala pesa
 
ACHA UZINZI.........ACHA!!
UTALIPA HILI MBELE ZA MUNGU.
ACHA....SI UJANJA HUU,NI DHAMBI....ACHA!!
 
[emoji1][emoji1][emoji1] kijana, Mungu alimtengeneza mwanamke mmoja tu aitwae eva na walikuwa wawili tu ulimwengu huu lakini bado eva alikwenda kumsikiliza nyoka,

Kumbuka hakukuwa na pesa,out,wala pombe kipindi hicho,

Mleta mada nikuhakikishie hao unaowachapa ni Malaya waliopata ndoa na endelea kuwachapa tu Braza wanawake smart huwezi kuwapata Kizembe hivo,
 
Unaweza kuwa ni memba wa jf uliyewaza vizuri sana kwenye uzi huu.
 
tatzo hii kitu inaitwa NDOA mnaipa heshima kubwa sana asee
yani mimi nikijua mke wangu kaanza kutiwa nje huko sito subir kukusanya ushahid wala kuita wazee
yan asubuhi tu anakula left
 
Mwenyewe anakazia "Hata usemeje"

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wengi huwa mnapenda kazi sana na kujisahau kutenga mda wa kuwa na familia mnafikiri mkishampa mke pesa na msosi na kulipa ada inatosha
Sawa Dada tutafanya marekebisho
 
Wasiotaka kuwajibika watakuja kukunanga ila imepenya hii💊💉

Mwanaume kuwa kichwa cha familia ni mpango wa Mungu na mwanamume kutimiza wajibu wake ni utaratibu wa Mungu

Mungu awatunze wanaume na kuwabariki katika kutimiza majukumu yenu
Kweli mkuu
 
Inaonyesha hujaoa. Siku ukioa hata utimize vyote mke wako pia ataliwa tu. Hujawahi sikia mwanamke anapewa kila kitu with good sex lakini analiwa na muuza butcher kwa nyongeza ya utumbo au maini?

Unaweza mnunulia gari matata ya kutembelea na pesa ya mafuta lakini akinunuliwa na jamaa mafuta ya 20,000 tu analiwa.

Ila wapo wanaojiheshimu ni ngumu kuliwa hovyo. Kutimiziwa kila kitu sio kigezo cha kutoliwa utakuja kujipiga risasi. Enjoy life usifuatilie sana mambo ya mwanamke aliye kwenye himaya yako.
 
Kila mtu a play part yake sio Mimi mwanamke nijichoshe kumfuraisha mtu mzima mwenzangu never on earth hana nguvu za kiume Hilo ni tatizo lake na saikolojia yake siwezi kumsubiria mda wote huku nikifa na ugwadu wangu loh
Duuuuu.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kwani anapomkaza Huwa unashuhudia? Je kama anakojoa ndani ya dakika moja?
Huwa unash
 
Hoja yangu siyo heshima hoja yangu ni nyinyi kuwazulia UONGO watu hao. Uongo ambao huwezi kuutetea,sasa tofautisha nilichokiandika na unachojibu ni mbingu na ardhi.
Wamezuliwaje uongo? Au husomi biblia mkuu,nikwamba mfalme daudi alikua mzinifu Sana alizini na mke wa huria na mbaya zaidi akamuua mume wa huyo mama kwa kumuweka mbele ya vita ili ashambuliwe na adui na afe ,lakini pia watoto wa daudi yaani amnoni na Absalom waliingia mtafaluku baada ya amnoni kumlazimisha au kumbaka mke wa kaka yake Absalom na baada ya kutimidha adhma hiyo na miaka miwili baadae Absalom akamuua amnoni na pia Absalom akatata kupindua ufalme wa baba yake lakini baadae akachinjwa na jemedari mkuu wa mfalme daudi aliekua anaitwa yoabu mwana wa seluya na kusababisha majuto makubwa kwa mfalme daudi .Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…