Sawa mkuuMtu kama anaenda ndivyo sivyo anaachwa vizuri tu. Na akijaribu kurusha makombora yatamlipukia mwenyewe. My wife is 100% safe. Yesu hakuja duniani kuzurura!
utanifungia siku tatu kavu siowe jichanganye kama ujajutia na nilijua tu ndio maana nikapangua plan zako, mi na washirikina hatuendani.
Ndio ukweli mkuu hata kama kosa ni lake ili mradi tu ameumia basi ni atakurogaaaaWanawake wanajua kutupa lawama sisi wanaume wakati makosa ni yao.
Sifungi wala sifunguiutanifungia siku tatu kavu sio
hapa umedanganya,mbinu yako ni hio tuSifungi wala sifungui
kibuyu kimeliaInaumiza sana sana sana
Sasa hivi kumekuwa na matukio yakishamiri ya wanandoa kufariki baada ya ndoa ama siku chache kabla ya ndoa( mimi pia ni muhanga wa kukutwa na hilo tukio japo ilikuwa ni kabla ya ndoa nikapoteza mchumba kwa ajari.. hili sitaki kulizungumzia)
Kama wewe ni mfuatiliaji wa mitandaoni haswa page za kusherehesha utagundua hili jambo, hiki kitu kimekuwa kikipamba moto mno, wanaume kwa wanawake wanafariki muda mchache baada au kabla ya ndoa…
Ukipitia comments nyingi utakuta ni wanawake ndio wamecomment na nyingi zikiwa kama zinafikisha ujumbe kwa wanaume..
Wanaume acheni kuwaumiza mioyo wanawake ambao hamna malengo ya kuwaoa
Hiko hivi wanawake hatufanani kuna kina sisi ambao ukusema mahusiano yamekwisha unihitaji basi nitakubaliana na hali na kusahau na kusonga mbele kama injili, sasa omba mahusiano yako ukutane na kina sisi
Usije ukakutana na kina wale ambao hawajuagi kusamehe wala kusahau utajutaa kwanini ulizaliwa mwanaume,,, hao wanawake ndio hao sasa wabeba visasi ambao wako tayari kwenda kokote kufanya jambo lolote ili mradi akukomoe
Ndio hapo sasa unaposikia bwana/ bibi harusi kafariki miezi 2 baada ya ndoa ama siku 2 kabla ya harusi.. unasababisha watu wasiokuwa na hatia kudhulumiwa uhai wao
Imefikia hatua mpk unaogopa mwanaume atakaenioa ex wake alisamehe na kusahau au na mimi nitajumuishwa kwenye kisasi
Usiseme nimeachana nae kwa amani, wengine huonyesha hivyo mbele yako ukimpa kisogo ndio anaenda kukusemelea kwa babu yake
Nimeleta hili kwasababu kuna mwanaume mwenzenu huko kashasababisha vifo kwa mke na mtoto wake kisa ex wake
Wanaume mnatuhusisha kwenye matatizo ambayo hatuhusiki.. mimi siwezi kujua kila kitu kuhusu mwanaume anaetaka kunioa ukizingatia tumekutana ukubwani.. matokeo yake wanawake ndio tunateswa na ma ex zenu kwasababu zenu ambazo sisi hazituhusu
Imagine unaolewa na mwanaume kumbe alishaishi kinyumba na mwanamke mwinginee kwa ZAIDI Ya Miaka 10 na watoto wa 3,, hivi unafikiri mwanamke kama huyo, akisema analipa kisasi inakuaje??
Kama huna nia ya kuoa acha kumpotezea binti wa watu muda wake.. wanawake huwa tunatunza visasi moyoni anaweza kusema amekusamehe kumbe anakutafutia timing akumalize
Nawasilisha kama hivyo
Uwez jua mbinu yanguhapa umedanganya,mbinu yako ni hio tu
in Jesus name amenUwez jua mbinu yangu
Pia mwanamke akinuizia kwenye ile damu yao ya mwezi......jambo hutokea......ulozi ni kipengelenskyNgoja niwape story! Umekimbusha kitu
I have a good friend of mine! Ni Rafiki yangu haswa.
Ananiamini mno! Nimekuwa mshauri wake wa mambo mengi yangu tukiwa A Level na uzuri tupata nafasi ya kusoma chuo kimoja degree yangu ya kwanza.
Jamaa angu akipata mchumba ila ukweni wakazingua ila jamaa alimpenda sana yule Binti, baadae wakatengana
Kwenye mishemishe za maisha jamaa akapata manzi wa kutuliza hisia tu, gafla akampa mimba.
Hapo hapo kule ukweni wakamwita na kumwambia nyie owaneni tu.
Huyu manzi mwenye mimba baada ya kujua Hilo! Maana nilimwambia nenda na mweleze ukweli, kwa sababu hamkua na mahusiano yenye Malengo yoyote!
Manzi akakubali jamaa aoe ila mimba akasema hatoi! Tukamwambia tutalea mtoto.
Kumbe yule Binti kaondoka na kisasi! Ndoa imeisha baada ya mwezi shemu akapata na yeye mimba! Huwezi amini iliharibika na akaanza kuumwa sana.
Katika kuchunguza tukajua yule dada kashapoteza wadada wawili kwa uchawi!
Nikwambie Abeee ! Hii ishu niache Mimi ni deal nayo shemu atakaa sawa ... Baada ya Kufanya ninayoyajua ndo shemeji yangu kapona.
Hii michezo ipo
Njoo PM.. nimepata ufunuo kutokana na bandiko lako 😊Na wewe ujiepushe kuumiza moyo wa mwanamke
We unasema 🙄🙄hii mpya tenaPia mwanamke akinuizia kwenye ile damu yao ya mwezi......jambo hutokea......ulozi ni kipengelensky
Mimi sitetei mtu anayemwacha mwenzake kwa hila. Nazungumzia anayeacha katika HAKI. Kuna wanawake usipowaacha wanakudelilalaizi chap. Before being delilalaizdi let her delilalaizi herself!Sawa mkuu
Watakaopona ni waliokubali kufanya toba na kuwaomba msamaha wa dhati hao wanawake kwa kuwapotezea muda na ndipo hapo huyo Yesu atafanya ulinzi juu yako na familia yako ila bila hivyo hata Yesu atakuacha tu ulipie gharama ya dhambi zako.. maana mshahara wa dhambi ni mauti mkuu
Uchawi wa mwanamke upo active sana. Mtu asipokuwa makini anaenda nao na maji. Kuna jamaa namjua hadi leo kashindwa kumtia mke wake mimba..Pia mwanamke akinuizia kwenye ile damu yao ya mwezi......jambo hutokea......ulozi ni kipengelensky
Au ndio unawafanyia vijana wa watu.. unawashushia vitu vizitoWe unasema 🙄🙄hii mpya tena
Aimenin Jesus name amen
apo sjui lolote ndo nataka nipate maelekezo mazuuuuriAu ndio unawafanyia vijana wa watu.. unawashushia vitu vizito
Wanawake mnamalizana na kukomoana wenyewe kwa wenyewe wanaume hatuhusiki kabisa. Jifunzeni kutoka kwetu kuhusu kumove on. Wanaume ukishasema it's done umepata mwingine haturudi nyuma tunasonga mbele hata kama ni kwa maumivu. Men don't fight for a cheating woman. Na tunaacha bila aliyeachwa kujua anajikuta tu yuko single. Tuna uwezo wa kukulisha na kukupa huduma nyingine ila ndio tumekuacha.Inaumiza sana sana sana
Sasa hivi kumekuwa na matukio yakishamiri ya wanandoa kufariki baada ya ndoa ama siku chache kabla ya ndoa( mimi pia ni muhanga wa kukutwa na hilo tukio japo ilikuwa ni kabla ya ndoa nikapoteza mchumba kwa ajari.. hili sitaki kulizungumzia)
Kama wewe ni mfuatiliaji wa mitandaoni haswa page za kusherehesha utagundua hili jambo, hiki kitu kimekuwa kikipamba moto mno, wanaume kwa wanawake wanafariki muda mchache baada au kabla ya ndoa…
Ukipitia comments nyingi utakuta ni wanawake ndio wamecomment na nyingi zikiwa kama zinafikisha ujumbe kwa wanaume..
Wanaume acheni kuwaumiza mioyo wanawake ambao hamna malengo ya kuwaoa
Hiko hivi wanawake hatufanani kuna kina sisi ambao ukusema mahusiano yamekwisha unihitaji basi nitakubaliana na hali na kusahau na kusonga mbele kama injili, sasa omba mahusiano yako ukutane na kina sisi
Usije ukakutana na kina wale ambao hawajuagi kusamehe wala kusahau utajutaa kwanini ulizaliwa mwanaume,,, hao wanawake ndio hao sasa wabeba visasi ambao wako tayari kwenda kokote kufanya jambo lolote ili mradi akukomoe
Ndio hapo sasa unaposikia bwana/ bibi harusi kafariki miezi 2 baada ya ndoa ama siku 2 kabla ya harusi.. unasababisha watu wasiokuwa na hatia kudhulumiwa uhai wao
Imefikia hatua mpk unaogopa mwanaume atakaenioa ex wake alisamehe na kusahau au na mimi nitajumuishwa kwenye kisasi
Usiseme nimeachana nae kwa amani, wengine huonyesha hivyo mbele yako ukimpa kisogo ndio anaenda kukusemelea kwa babu yake
Nimeleta hili kwasababu kuna mwanaume mwenzenu huko kashasababisha vifo kwa mke na mtoto wake kisa ex wake
Wanaume mnatuhusisha kwenye matatizo ambayo hatuhusiki.. mimi siwezi kujua kila kitu kuhusu mwanaume anaetaka kunioa ukizingatia tumekutana ukubwani.. matokeo yake wanawake ndio tunateswa na ma ex zenu kwasababu zenu ambazo sisi hazituhusu
Imagine unaolewa na mwanaume kumbe alishaishi kinyumba na mwanamke mwinginee kwa ZAIDI Ya Miaka 10 na watoto wa 3,, hivi unafikiri mwanamke kama huyo, akisema analipa kisasi inakuaje??
Kama huna nia ya kuoa acha kumpotezea binti wa watu muda wake.. wanawake huwa tunatunza visasi moyoni anaweza kusema amekusamehe kumbe anakutafutia timing akumalize
Nawasilisha kama hivyo
Au tuisheni ama yaweza kua hata biashara mkuu..🙄kwaio kuna mda tukubali kua ni interview