Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

Ni hatari kuna mabinti wengine ni wachawi balaa. Mm baada ya kumpiga chini binti mmoja wa uswahilini nikaanzisha mahusiano mapya ambayo hadi sasa tupo mwaka wa 5.
Nilipitia kipindi cha kutokusimamisha uume wakati wa tendo zaidi ya miezi sita hadi nikaogopa
 
Hakunaga kuachana kwa amani trust me… kuachana na mtu umetangaza nae vita… ila sasa upiganaji wake wa hiyo vita ndio kunatofautiana silaa, wenginee wanatumia risasi wengine makombora ya nyukliya
Unasema ukweli, wangu tuliachana miaka 20 iliyopita, lakini hadi leo anadai ananisubiri hajawahi kuolewa, imagine. Na mimi wakati tunaanza alijua nina mke na watoto. Nilichogundua mwanaume kama una mwanamke na unataka kumwacha, jitahidi akuache yeye, ukimwacha wewe, chamoto utakiona hususan akiwa na kiumbe chako
 
Mkuu mimi nimekubali sio kila mahusiano yataishia kwenye ndoa je Zuchu atakubali
Ndio maana nimesema wanawake tumetofautiana mkuu
Lazima akubaliane na ukweli kama kiatu kina mbana, basi atakae umia ni yeye.
 
Mbona hukufariki kama ni mhanga?
 
Wivu wenu haiwezi tatiza harakati zetu za mbususu,mtajuana wenyewe huko huko
 
Sawa wacha niwe mpole
Kipindi cha ( 🌘 ), huwa kipindi cha utakaso kwa mwanamke. Mwanamke anaweza kukitumia for positive na anaweza kukitumia vibaya. Tuanze na positive ( damu huwa ina beba information ) inaweza kuwa bad or good, maana yake damu inayotoka imebeba information na unaweza feed information ( kuna aina ya information kipindi hicho, kuna information ambazo haupo aware nazo , hizi pia zinatoka na zinaweza kuingia ) kwenye damu unaweza feed information ambazo upo aware nazo.. but kwa damu ya mwezini inapokuwa inatoka ina carry somethings kisicho na uhai tena ( unapoteza uhai ) inakuwa bad.. ( hiyo unaweza tumia mlaani mtu n.k inatumika kama tape recorder) hapa sitozungumzia sana, nitakuwa kama nafundisha uchawi 😜😜.. acha nikampande farasi wangu tukimbie
 
Matatizo yote ya mahusiano yaliyotakiwa kuvunjika kutokuvunjika ni kwasababu sisi wanaume tuna huruma sana; unakuta mwanamke mwenyewe ambaye unataka kuachana nae kajilemaza kwa kututegemea tena complication zaidi ukute kuna mtoto anahusika
Huruma zetu zinawaponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…