Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

Emdeleza tafadhali ili tujifunze
 
Hata huyo wa chuo atamaliza atarudi mtaani otherwise usikae nae Miaka mingi yaani ukapoteza muda wake mpk akawa mshangazi
 
Kuna mifano mibaya ambayo wanaume wanawaacha wanawake na ndio huko mwanamke atalipa kisasi mfano umemkuta mwanamke ana hela ukajiingiza pale halafu kumbe umependa hela unamdangia mwisho unamtafutia kisanga unamuacha unaenda kuruka na tutoto twa afu mbili then ushamfilisi dada wa watu aiseee lazima akurogee
 
Mara nyingi huwa tuna mpango wa kuoa ila sasa ukishaishi na huyo mwanamke unaanza kujiuliza yaani maisha yangu yote nitamaliza na huyu kweli? Hiyo miaka miwili unakutana na mapichapicha mengi sana
Ni kweli lakini kuna wanawake innocent sana waMeachwaa mkuu
 
Hadi unarogwa maana yake umepuuza kumpokea Yesu maishani mwako. Waulize wachawi wakwambie Moto wa Yesu ulivyo. Acheni kutukuza vinyonge!
Mkuu mimi siwezi kuroga mtu
Hii nimeisema kwani ni kitu ambacho kina endelea hapa bongo
 
Sisi tunafilisiwa toka siku ya kwanza na hatulaumu mwanaume mwenzetu. Sijui nyinyi kwa nini mnahamishia hasira zenu kwa wanawake wenzenu?
 
Watanzagiza , mutaacha lini imani za kishirikina?..... uchawi hakuna ✍️✍️
 
Maisha niliyoishi mimi na mama yangu ni funzo tosha kwangu. Aise hivi visasi vya kimapenzi vinaumiza mno watu wasio na hatia, japo mimi ni mwanaume ila sishauri wanaume wenzangu kuendekeza tamaa za kutamani kila mwanamke.

ukishamzalishamwanamke huyo huyo nenda kaishi naye acha kutafuta wanawake wengine waoneeni huruma viumbe visivyo na hatia.

usiombe kisasi cha mwanamke mchagga halafu ni mshirikina.
 
Hamna kitu kama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…