Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
vipi kuhusu wewe,,unaroga!?Hiyo ina play kwako tu binti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi kuhusu wewe,,unaroga!?Hiyo ina play kwako tu binti
Mbaya mkuu… mimi mpk Leo nina maumivu kwa yaliyomtokea ex wangu,, ukizingatia alikuwa bado Kijana mdogo mwenye malengo mengi na amepambana mpk kujipata anataka kula matunda ya kuteseka kwake mwanamke anamkatili uhai wakeNimeipenda hii my dear
Hii imemtoa miongoni mwa wababa zangu wadogo kwa bibi yangu mdogo, jamaa kaishi na demu wake wanapika na kupakua,baadae akampiga chini, kibaya zaidi akaoa kisha akaenda kukaa na mkewe katika chumba kile kile alichopanga
Mbona mwamba alipigwa ukichaa wa muda,ila bahati nzuri alikusudiwa yeye mwenyewe na si mkewe,sijajua anaendeleaje now
Kama hutarajii kumuona huyo bidada basi usimpe ahadi ambayo unajua hauta itimiza
inatokea bila matarajioNa wewe ujiepushe kuumiza moyo wa mwanamke
Kwetu sijawahi sikia wala kuona mchawi.. kwaiyo mimi siwezi kuwa mshirikina kwenye familia yetu.. mimi mwenzako ni pendapenda sijawahi kusema et huyu namganda.. nikiachwa Leo nikakutana na mwinginee nitampenda na yule nitamsahauvipi kuhusu wewe,,unaroga!?
mimi umeniumiza jana,,sasa subiri ahadi zote ulizonipa kumbe uongoinatokea bila matarajio
Jana sijaumiza mtumimi umeniumiza jana,,sasa subiri ahadi zote ulizonipa kumbe uongo
Hakuna hiyo mkuu,, wewe unakaa 6 year na mwanamke tangu akiwa msichana mpk anaelekea umamani then ushampotezea Watu ambao walikuwa serious wanataka kumuoa uka muhold ujaishia hapo umeshamzalisha halafu Leo kafika 32 et uwezi muoa unataka watoto wa 2000 dear utakufa vibaya weweinatokea bila matarajio
Pole sanaMbaya mkuu… mimi mpk Leo nina maumivu kwa yaliyomtokea ex wangu,, ukizingatia alikuwa bado Kijana mdogo mwenye malengo mengi na amepambana mpk kujipata anataka kula matunda ya kuteseka kwake mwanamke anamkatili uhai wake
Kwanza kabisa siwezi fanya ujinga huo.Hakuna hiyo mkuu,, wewe unakaa 6 year na mwanamke tangu akiwa msichana mpk anaelekea umamani then ushampotezea Watu ambao walikuwa serious wanataka kumuoa uka muhold ujaishia hapo umeshamzalisha halafu Leo kafika 32 et uwezi muoa unataka watoto wa 2000 dear utakufa vibaya wewe
Ghai wale wale,,m mwenyewe nadumbukia kwa mwingine dubwiiii kuepusha matatizo.Kwetu sijawahi sikia wala kuona mchawi.. kwaiyo mimi siwezi kuwa mshirikina kwenye familia yetu.. mimi mwenzako ni pendapenda sijawahi kusema et huyu namganda.. nikiachwa Leo nikakutana na mwinginee nitampenda na yule nitamsahau
Sawa majibu utayapata,,had nkakupa ngoma la vumi au unafkiri nililewa.Jana sijaumiza mtu
Wanakukomoa tuYaani wanawake wanarogo ili waenjoy dudu🤣🤣🤣
Sass sikie wanavyotukandia hapa oh kibamia mara nyie mbwa.
Kumbe wanaroga wapate dyudyu zetu
kwaio kuna mda tukubali kua ni interviewSio kila mahusiano lazima yafikie ndoa mkuu...
Na hata mkiwa 10, mwisho wa siku lazima mkubaliane na ukweli mchungu kwamba atakae olewa ni 1 tu...
Zile mbwembwe zako tu mi nanguvu za kuona hadi wachawi na vilinge vyao kama huamini pitia uzi wangu wa mwisho.Sawa majibu utayapata,,had nkakupa ngoma la vumi au unafkiri nililewa.
Mkuu mimi nimekubali sio kila mahusiano yataishia kwenye ndoa je Zuchu atakubaliSio kila mahusiano lazima yafikie ndoa mkuu...
Na hata mkiwa 10, mwisho wa siku lazima mkubaliane na ukweli mchungu kwamba atakae olewa ni 1 tu...
Onhooo,,tusiongee sanaZile mbwembwe zako tu mi nanguvu za kuona hadi wachawi na vilinge vyao kama huamini pitia uzi wangu wa mwisho.
Mtu kama anaenda ndivyo sivyo anaachwa vizuri tu. Na akijaribu kurusha makombora yatamlipukia mwenyewe. My wife is 100% safe. Yesu hakuja duniani kuzurura!Inaumiza sana sana sana
Sasa hivi kumekuwa na matukio yakishamiri ya wanandoa kufariki baada ya ndoa ama siku chache kabla ya ndoa( mimi pia ni muhanga wa kukutwa na hilo tukio japo ilikuwa ni kabla ya ndoa nikapoteza mchumba kwa ajari.. hili sitaki kulizungumzia)
Kama wewe ni mfuatiliaji wa mitandaoni haswa page za kusherehesha utagundua hili jambo, hiki kitu kimekuwa kikipamba moto mno, wanaume kwa wanawake wanafariki muda mchache baada au kabla ya ndoa…
Ukipitia comments nyingi utakuta ni wanawake ndio wamecomment na nyingi zikiwa kama zinafikisha ujumbe kwa wanaume..
Wanaume acheni kuwaumiza mioyo wanawake ambao hamna malengo ya kuwaoa
Hiko hivi wanawake hatufanani kuna kina sisi ambao ukusema mahusiano yamekwisha unihitaji basi nitakubaliana na hali na kusahau na kusonga mbele kama injili, sasa omba mahusiano yako ukutane na kina sisi
Usije ukakutana na kina wale ambao hawajuagi kusamehe wala kusahau utajutaa kwanini ulizaliwa mwanaume,,, hao wanawake ndio hao sasa wabeba visasi ambao wako tayari kwenda kokote kufanya jambo lolote ili mradi akukomoe
Ndio hapo sasa unaposikia bwana/ bibi harusi kafariki miezi 2 baada ya ndoa ama siku 2 kabla ya harusi.. unasababisha watu wasiokuwa na hatia kudhulumiwa uhai wao
Imefikia hatua mpk unaogopa mwanaume atakaenioa ex wake alisamehe na kusahau au na mimi nitajumuishwa kwenye kisasi
Usiseme nimeachana nae kwa amani, wengine huonyesha hivyo mbele yako ukimpa kisogo ndio anaenda kukusemelea kwa babu yake
Nimeleta hili kwasababu kuna mwanaume mwenzenu huko kashasababisha vifo kwa mke na mtoto wake kisa ex wake
Wanaume mnatuhusisha kwenye matatizo ambayo hatuhusiki.. mimi siwezi kujua kila kitu kuhusu mwanaume anaetaka kunioa ukizingatia tumekutana ukubwani.. matokeo yake wanawake ndio tunateswa na ma ex zenu kwasababu zenu ambazo sisi hazituhusu
Imagine unaolewa na mwanaume kumbe alishaishi kinyumba na mwanamke mwinginee kwa ZAIDI Ya Miaka 10 na watoto wa 3,, hivi unafikiri mwanamke kama huyo, akisema analipa kisasi inakuaje??
Kama huna nia ya kuoa acha kumpotezea binti wa watu muda wake.. wanawake huwa tunatunza visasi moyoni anaweza kusema amekusamehe kumbe anakutafutia timing akumalize
Nawasilisha kama hivyo
we jichanganye kama ujajutia na nilijua tu ndio maana nikapangua plan zako, mi na washirikina hatuendani.Onhooo,,tusiongee sana