Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Huenda huna thamani nd maana unajirahiasi chap, anayetaka ndoa hatak chapu we bana mapaja muache amwage sera akisema anataka kuoa mwelekeze posa apeleke wapi, ndo utajua imo au haimo
 
Na utaachwa sana, sasa kazi inahusiana nini na mapenzi? Au tangazo hili?
 
Kwahiyo baada ya ule Uzi wako watu walitumia fulsa au... Anyway, pole sana, ndio maisha.
 
Usiwalaumu wanaume, mlaumu "shetanii"
Hyo ndo kazi ya shetani.

»»ZAMANI SHETANI ALITUMIA SANA WANAWAKE ILI APATE KUWAANGUSHA WANAUME, LAKINI LEO KINYUME CHAKE NDO UKWELI.

»»mshukru MUNGU kati yako na huyo mwanaume kuna mmoja MUNGU amemuepusha na madhara ya shetani ambayo angeweza kuyakuta huko mbeleni.

»ACHA KUFANYA MAPENZI, FANYA KAZI UJIONGEZEE KIPATO UWEZE KUWA KAMA WENGNE.

inaonekana uliwekeza sana kumuomba MUNGU upate kazi, baada ya kupata kazi umewekeza kwenye uzinzi badala ya kuwekeza kwenye uzima.

»USIWACHUKIE WANAUME, CHUKIA ROHO INAYOWAINGIA ILHALI HAWANA UWEZO WA KUPAMBANA NAYO.
 
Pole sana.
Wanawake! kuweni makini sana na wanaume wanaotanguliza kufanya ngono kabla ya ndoa. Tatizo la lenu mnafikiri ukimpa hiyo papa yako ndio atakuoa. Kuwa na msimamo. Mtangulize Mungu katika kutafuta mwenzi wa maisha. Usifanye bahati nasibu katika mapenzi.
Nimemaliza. Mwenye masikio na asikie
 
Ohooo pole sana husijilaum Wala usimlaumu huenda mungu amekuepusha na chaguo lisilo sahihi kweny maisha yako good bye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…