Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Usihofu Karma is real atalipa kwa yote aliyokufanyia kama sio yeye basi mke wake kama sio mke wake watoto wake mpaka wajukuu wake, ulimwengu wa roho umesikia kilio chako lazima utatenda haki juu yake pamoja familia yake ni suala la muda tu, ila malipo lazima yalipwe cha kufanya jua tatizo ni funzo wewe jifunze kwenye tatizo then forgive and forget mengine achia ulimwengu wa roho utende kazi ndo hakimu mkuu ambaye hana upendeleo.
 
Mnatanguliza Sana hisia,sema hii njia tunayotumia wanaume ya kwamba nitakuoa inawachanganya Sana wanawake,wanavua chupi bila ya kutumia nguvu kubwa,sema ni njia mbaya inawaacha na maumivu makubwa wanawake pole Sana mkuu
 
Back
Top Bottom