Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa

Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake wanaowaamini.
Kwani ni lazima unifate mbona wanawake wamejaa tele?
Nimeumia sana na sana.
Sipendi jamani.
Mnazidi kunipa maumivu tu.
Au kwa kuwa alijua maisha yangu ya nyuma?
Nimeumia sana.
Nawachukia sana nyie wanaume.
Naomba tusivurugane aisee.
Wakati huu nalia mwenyewe wewe unacheka na mkeo kwako.
Sitaki.
Ila yote ni maisha.
Niache ndio nitapata mwingine.

Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Sikutegemea.
Sawa nimekubali kuachika.
Furahi wewe.
Mimi nipo tayari kukuoa mke wa tatu. Nipo Serious, naomba njoo inbox.
 
Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Siku nyingine usimvulie chupi mwanaume anayekuahidi kukuoa, hao viumbe ni watu waliigombana na wake zao then hukimbilia kwa muda kwa mademu kama wewe...

Hukushawishi kwa gia ya ndoa na usipostuka wanakushenyeta na kurudi kwa wake zao.

Be careful
 
Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa

Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake wanaowaamini.
Kwani ni lazima unifate mbona wanawake wamejaa tele?
Nimeumia sana na sana.
Sipendi jamani.
Mnazidi kunipa maumivu tu.
Au kwa kuwa alijua maisha yangu ya nyuma?
Nimeumia sana.
Nawachukia sana nyie wanaume.
Naomba tusivurugane aisee.
Wakati huu nalia mwenyewe wewe unacheka na mkeo kwako.
Sitaki.
Ila yote ni maisha.
Niache ndio nitapata mwingine.

Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Sikutegemea.
Sawa nimekubali kuachika.
Furahi wewe.
Bibie tafuta kazi ufanye,achana mambo ya kuuza mwili wako
 
We ndo mwenye shida kwa sababu ni mwepesi wa kuwaamini watu,jitahidi kuounguza pressure utampata unayemtaka,na je kama alikuwa na nia ila akaona haufai?
 
Back
Top Bottom