Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa

Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake wanaowaamini.
Kwani ni lazima unifate mbona wanawake wamejaa tele?
Nimeumia sana na sana.
Sipendi jamani.
Mnazidi kunipa maumivu tu.
Au kwa kuwa alijua maisha yangu ya nyuma?
Nimeumia sana.
Nawachukia sana nyie wanaume.
Naomba tusivurugane aisee.
Wakati huu nalia mwenyewe wewe unacheka na mkeo kwako.
Sitaki.
Ila yote ni maisha.
Niache ndio nitapata mwingine.

Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Sikutegemea.
Sawa nimekubali kuachika.
Furahi wewe.
Soma hii coment!soma!

Fanya mapenzi Kwa ajili ya furaha ya moyo wako,Fanya na mtu unaemridhia na huna kinyaa nae hata baada ya kufanya!

Jenga future yako mwenyewe ,zaa na mtu unae mhusudu Lea mtoto binafsi huku mkishirikiana nae kwenye mambo ya msingi kuhusu mtoto!

Ndoa za kwenye makaratasi plus shela zinawatesa coz you Long for it,live for it but ni gereza la fikra!

Ndoa ni imani tu sio rasmi kama hivyo mnavyotaka!zaa hata na mume wa mtu unaempenda hasta ukiwa mchepuko wa kudumu isikuumize coz ndie mtu unaempenda na atakua mumea kutokana unavyomchukulia na sio urasmishaji!

Kwanini mnajifinyanga kwa mateso yote haya!!?

Kama alikuahidi ndoa jua ilikua ni trick ya kuiomba na usiwe unatarajia atakwambia naiomba TU hivi hivi!!

Makininika!
 
Msitafute ndoa tafuteni mapenzi! Ndoa ni hitimisho tu!
Na kama hutaki kutawaliwa kama alivyosema mwanajf mmoja humu!
  • Hujui kujishusha
  • Hujui kupotezea mambo
-Huna heshima na utii
Tukutane kwenye gusa achia ndoa huwezi mywangu.
 
Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa

Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake wanaowaamini.
Kwani ni lazima unifate mbona wanawake wamejaa tele?
Nimeumia sana na sana.
Sipendi jamani.
Mnazidi kunipa maumivu tu.
Au kwa kuwa alijua maisha yangu ya nyuma?
Nimeumia sana.
Nawachukia sana nyie wanaume.
Naomba tusivurugane aisee.
Wakati huu nalia mwenyewe wewe unacheka na mkeo kwako.
Sitaki.
Ila yote ni maisha.
Niache ndio nitapata mwingine.

Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Sikutegemea.
Sawa nimekubali kuachika.
Furahi wewe.
Maisha yanakupeleka slow jam but with sure of the life
 
Tangazo lako lipo kimkakati Sana saaf
 
Ukiona anakuumiza na hajali basi jua huko alikopita ameumizwa badly.
 
Mkiambiwa kila siku hamsikii!
Muoaji huwa hatangazi huchukua maamuzi ya ghafla
Mm nilisex nae after 3 days akaanza kupeleleza familia yangu ili aje alete posa ndani ya mwezi mmoja alikuwa ameshakamilisha kila kitu na anataka ndoa!
 
Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa
Yaani kazi umepata January..
Januari hiyo hiyo umepata na mpenzi..
Ndani ya hiyo hiyo januari umeshampa kila kitu na mmeshapanga na mipango ya ndoa!
Dada hebu punguza spidi kidogo
 
Kuna Mjukuu wangu mmoja aliwahi kupitia huo Mtihani miaka 20 iliyopita

Yeye hadi Wazee walikuja nyumbani kumtolea Posa

Kumbe hawakuwa Wazee, isipokuwa Wazee wahuni wa DSM.

Kumbe yule Mjukuu alimwambia yule Kijana muuoaji eti ili ampe utamu wake, sharti aje amtolee barua ya Posa.

Posa ililetwa na Wazee wa mchongo shilingi 30,000 wakiwa wamevaa vizuri huku wakipiga stori za Uwongo kwamba wanasubiri meli yao ipakue mzigo pale bandarini, na Kijana muoaji eti ndiyo Msimamizi pekee wa biashara zao.

Baada ya Posa, Binti Mjukuu akamfungulia miguu Kijana muoaji wa mchongo

Kijana alijipigia kama Mwezi mmoja hivi, baada ya pale akahama Mtaa na Wala lile ghetto zuri halikuwa la kwake Bali aliazima tu ili kumvutia Binti

Kijana akalala mbele pamoja na Wazee wake wa mchongo (aliowakodi pale Magomeni) 🙌

Pole binti yangu Miss Natafutwa
Kwan alikuw anakula vya watu alafu mzgo akaw anazngua

Jamaa akaona asiwe boyaa (mnyonge)
 
Yaani kazi umepata January..
Januari hiyo hiyo umepata na mpenzi..
Ndani ya hiyo hiyo januari umeshampa kila kitu na mmeshapanga na mipango ya ndoa!
Dada hebu punguza spidi kidogo
Dada etu akajua mwaka ameuanza gud, kwakujua amepga ndege wawili jiwe moja.
 
Back
Top Bottom