Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa

Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake wanaowaamini.
Kwani ni lazima unifate mbona wanawake wamejaa tele?
Nimeumia sana na sana.
Sipendi jamani.
Mnazidi kunipa maumivu tu.
Au kwa kuwa alijua maisha yangu ya nyuma?
Nimeumia sana.
Nawachukia sana nyie wanaume.
Naomba tusivurugane aisee.
Wakati huu nalia mwenyewe wewe unacheka na mkeo kwako.
Sitaki.
Ila yote ni maisha.
Niache ndio nitapata mwingine.

Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Sikutegemea.
Sawa nimekubali kuachika.
Furahi wewe.
UKOME!
 
Ulivyokuwa unakigawa kama njugu ulifikiria nini? Hayo ndiyo malipo yake,Palilia tabia zako,kwa hiyo ulitaka umuuzie jamaa mbuzi kwenye gunia?
 
Mama ukiilegeza itapunwa tu.

Kwenye vita Huwa hatujachugui silaha za kutumia...... Kuwa na uhakika utolewa Hadi pale mtakapo simama madhabahuni kufunga ndoa mbele ya paroko.
Hakuna wanawake wa kuwapeleka kwenye madhabahu za kweli za Mungu na kufunga ndoa.
Hawa wanawake wa sasa ni sogea tuishi kisha sepa
 
Shida yenu nyie wanawake huwa mnaingia kwenye mahusiano kichwa kichwa bila ya kubakiza akili hata kidogo ndo maana mnapigwa matukio kila uchao.

Pole lakini.
 
Mama ukiilegeza itapunwa tu.

Kwenye vita Huwa hatujachugui silaha za kutumia...... Kuwa na uhakika utolewa Hadi pale mtakapo simama madhabahuni kufunga ndoa mbele ya paroko.
Hahahaha "kwenye vita huwa hatuchagui simama ya kutumia" hii kauli inanikumbusha kipindi fulani nlikuwa na mshikaji wangu pale SP Tabata bima, tumekaa tunaangalia mpira besides kulikuwa na mtoto mzuri mmoja yupo na majamaa zake, jamaa alimtembezea savanna za kutosha, nikamuuliza mbona tunatumia gharama KUBWA ivyo jamaa likaniambia "vita haichagui silaha"... na kweli alikujaga kujipigia yule mtoto.
 
Back
Top Bottom