Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Unaonekana una umri mkubwa lakini kiakili bado ni naive kama mtoto. Nadhani hii ni kweli kwa wanawake wengi. Mtu asiyejifunza kutokana na experience siku zote huwa na mwisho mbovu.

Lesson number 1: Binadamu ni viumbe katili wanaopenda kuona wengine wanateseka na kuumia. Usiwaamini hata kidogo, ni wanafiki, wabinafsi na hawana logic. Na most important usiwape taarifa zako zozote hasa za siri. Kwani mwisho wa siku huzitumia kama silaha dhidi yako. Kwa mfano: Ona hawa viazi wanavyokucheka hapa!

Nakupa mfano mwingine wa kwanini usiamini binadamu. Hapa nimekupa huu muongozo sio kwa sababu najali kuhusu wewe, la hasha! Bali logically sioni sababu ya kucheka makosa ya wengine na napenda tu kuwaonesha watu wanapokosea. It's a selfish act of ego masturbation. So, keep your shit to yourself.
 
Kumbe bado kuna watu wanasemaga njoo ujitambulishe ndio nikupe uchi😳😳
Ukikutana na wale wavaa bakabaka watakutumia sana maana wao kutoa posa mpk mahari ili wakuonje sio shida zao
 
Kwani hukufundishwa kwamba USIZINI?
 
maisha yako ya nyuma yalikuwa mabovu?

Hebu geuka wewe kuwa mwanaume:

Binti anakusimulia maisha yake ya nyuma, nimetoa mimba tano kwa sababu sikutaka kuzaa mapema, nyuma nimewahi onja mara moja tu, yule mwanaume simpend niliamua kuachana naye, maisha hayo siyawezi, enzi za usichana wangu nimeenda sana disko muda mwingine nilala huko huko si unajua mambo ya kampani, ila saizi nimetulia nimekuwa, hayo mambo nimeachia watoto. Haya sasa mwanaume hata kama ulikuwa na speed ya kutaka kumuoa huyu pisi kali utaendelea nayo?
 
Unafinyia ama ndo fungua geti
 
Punguza kujielezea hilo ndio tatizo lako na kwa wanawake walio wengi ni kupenda kujielezea sana.

Yaani unatongoza manzi mnaingia kwenye mahusiano hata wiki hamna unakuta tayari kashakueleza kila kitu kuhusu maisha yake, family yake na ukoo wake woote.

Tena unakuta mlivyokuwa wajinga mnaeleza zaidi mabaya na madhaifu kwamba mimi mwanaume wako mpya ndio niwe Jesus wa kukukomboa katika shida na matatizo hayo aisee hapo hata iweje nachakata mbususu na kutokomea.

Siwezi kuwa Jesus maana hata mimi katika familia nina matatizo na shida kibao
 
Ulishatumika sasa unataka kumbambikia msela mzigo wako akuoe utulie?
Kakushtukia acha atoke nduki
 
Jamaa atakuwa na sababu ya kukimbia mapema.

Sababu ni...
Kamdomo, gari ina Km/p nyingi, ila mambo ni mengi... Utapata mwingine.
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    33.4 KB · Views: 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…