Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Huyo mmenya ndizi ndio kamgaragaza dada etu sio 😂Nikutaje? Mwachiluwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mmenya ndizi ndio kamgaragaza dada etu sio 😂Nikutaje? Mwachiluwi
Hii inatosha kabisa. Maisha ndo yalivyo. Usiwaze sana enjoySawa nimekubali kuachika.
Kwani hukufundishwa kwamba USIZINI?Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa
Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake wanaowaamini.
Kwani ni lazima unifate mbona wanawake wamejaa tele?
Nimeumia sana na sana.
Sipendi jamani.
Mnazidi kunipa maumivu tu.
Au kwa kuwa alijua maisha yangu ya nyuma?
Nimeumia sana.
Nawachukia sana nyie wanaume.
Naomba tusivurugane aisee.
Wakati huu nalia mwenyewe wewe unacheka na mkeo kwako.
Sitaki.
Ila yote ni maisha.
Niache ndio nitapata mwingine.
Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Sikutegemea.
Sawa nimekubali kuachika.
Furahi wewe.
maisha yako ya nyuma yalikuwa mabovu?Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa
Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake wanaowaamini.
Kwani ni lazima unifate mbona wanawake wamejaa tele?
Nimeumia sana na sana.
Sipendi jamani.
Mnazidi kunipa maumivu tu.
Au kwa kuwa alijua maisha yangu ya nyuma?
Nimeumia sana.
Nawachukia sana nyie wanaume.
Naomba tusivurugane aisee.
Wakati huu nalia mwenyewe wewe unacheka na mkeo kwako.
Sitaki.
Ila yote ni maisha.
Niache ndio nitapata mwingine.
Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Sikutegemea.
Sawa nimekubali kuachika.
Furahi wewe.
Unafinyia ama ndo fungua getiJuzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa
Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake wanaowaamini.
Kwani ni lazima unifate mbona wanawake wamejaa tele?
Nimeumia sana na sana.
Sipendi jamani.
Mnazidi kunipa maumivu tu.
Au kwa kuwa alijua maisha yangu ya nyuma?
Nimeumia sana.
Nawachukia sana nyie wanaume.
Naomba tusivurugane aisee.
Wakati huu nalia mwenyewe wewe unacheka na mkeo kwako.
Sitaki.
Ila yote ni maisha.
Niache ndio nitapata mwingine.
Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Sikutegemea.
Sawa nimekubali kuachika.
Furahi wewe.
Walikutana humu kumbe? Basi tayari ni shujaa asilie maana hata hili litapita.We mwana jf uliemzingua dada yetu acha kabisa.
Punguza kujielezea hilo ndio tatizo lako na kwa wanawake walio wengi ni kupenda kujielezea sana.Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa
Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake wanaowaamini.
Kwani ni lazima unifate mbona wanawake wamejaa tele?
Nimeumia sana na sana.
Sipendi jamani.
Mnazidi kunipa maumivu tu.
Au kwa kuwa alijua maisha yangu ya nyuma?
Nimeumia sana.
Nawachukia sana nyie wanaume.
Naomba tusivurugane aisee.
Wakati huu nalia mwenyewe wewe unacheka na mkeo kwako.
Sitaki.
Ila yote ni maisha.
Niache ndio nitapata mwingine.
Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Sikutegemea.
Sawa nimekubali kuachika.
Furahi wewe.
Kwa namna alivyoandika ni kama walikutana humuWalikutana humu kumbe? Basi tayari ni shujaa asilie maana hata hili litapita.
Ulishatumika sasa unataka kumbambikia msela mzigo wako akuoe utulie?Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa
Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake wanaowaamini.
Kwani ni lazima unifate mbona wanawake wamejaa tele?
Nimeumia sana na sana.
Sipendi jamani.
Mnazidi kunipa maumivu tu.
Au kwa kuwa alijua maisha yangu ya nyuma?
Nimeumia sana.
Nawachukia sana nyie wanaume.
Naomba tusivurugane aisee.
Wakati huu nalia mwenyewe wewe unacheka na mkeo kwako.
Sitaki.
Ila yote ni maisha.
Niache ndio nitapata mwingine.
Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Sikutegemea.
Sawa nimekubali kuachika.
Furahi wewe.
Sema mbinu iliyotumika hyo niya kizaman sana. Dada etu alikua hajaigundua tuHakuna fita ndogho mura
Jamaa atakuwa na sababu ya kukimbia mapema.Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa
Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu?
Najuta kumpa thamani yangu.
Nawachukia wanaume kuanzia leo.
Mnatesa sana wanawake wanaowaamini.
Kwani ni lazima unifate mbona wanawake wamejaa tele?
Nimeumia sana na sana.
Sipendi jamani.
Mnazidi kunipa maumivu tu.
Au kwa kuwa alijua maisha yangu ya nyuma?
Nimeumia sana.
Nawachukia sana nyie wanaume.
Naomba tusivurugane aisee.
Wakati huu nalia mwenyewe wewe unacheka na mkeo kwako.
Sitaki.
Ila yote ni maisha.
Niache ndio nitapata mwingine.
Umri unaenda nikajua nimepata pumziko kumbe ulikuwa unaniinjoi?
Sikutegemea.
Sawa nimekubali kuachika.
Furahi wewe.
🤣🤣🤣 atari atariKwa namna alivyoandika ni kama walikutana humu
Noma mkuu🤣🤣🤣 atari atari