Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

Spinning at Work.

Attention Seeker.
 
Afya ya akili
 
Uyu ni uji wa ugali ukiweka mwepesi unaungua wewwle kwahy unacheza na mdundo
sjui kwa nn sku hizi wasichana na wanawake wengi hawajui thamani zao, yan unakutana na mwanaume juzi tayar ushamvulia chupi, sisem kuwa amvutie muda ndio ampe kuna ile unaamua kuingia mapenzin ukiwa makini umependa lakini akili yako inafanya kazi sasa huyu haylta ningekua mm ni me ningeichapa nikalala hivi maana yeye mwenyewe hajielewi.
 
Lakini kuwahi au kutokuwahi kulala na mtu sio sababu ya kudumu kwenye mahusiano.
Mwanaume akiwa na nia ya kukuchezea atasubiri hata mwaka huku anakuvutia pumzi, siku utakayompa ndio itakua kwaheri ya kuonana.
 
1.Thamani gani ulonayo wewe ambayo unaweza kumpa mwanaume?
2. Umesahau kipindi bado Kigoli ulivyo kuwa unasumbua vijana? Cha ajabu ulikuwa unawafuata mibaba na wenye pesa.... sasa umri umeenda unatafuta pa kupumzikia.... hahahaha dooh! Yesu rudi kwakweli, maana dunia ina mambo....
 
Genye azivumiliki bhna
 
Ila vijana wana Mbinu Looh😃😂😓

Pole yake huyo binti, japo najua saizi atakuwa mmama
Hizo mbinu walizitumia sana miaka ya 90 mwishoni hadi 2000 mwanzoni

Na walizitumia kwa mabinti wa geti Kali

Ilifikia wakati Vijana hata kama hawana magari, waliweza kukodisha na kuja nayo nyumbani Kwa binti waliyemvizia

Binti akiingia kwenye mfumo, basi watajipigia kisha kumkimbia

Nashangaa Vijana wa kiume wa miaka hii walivyolala, wanaziacha PisiKali hadi zinabebwa na Wazee 🤗
 
Lakini kuwahi au kutokuwahi kulala na mtu sio sababu ya kudumu kwenye mahusiano.
Mwanaume akiwa na nia ya kukuchezea atasubiri hata mwaka huku anakuvutia pumzi, siku utakayompa ndio itakua kwaheri ya kuonana.
hata kama ila ninachoamini tabia ni kama ngozi ya mwili n ngumu kuifake kuna red flags utaziona labda uamue kuzipuuza kwa kupenda bila kuishirikisha akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…