Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Ulianza la kwanza una miaka 5? Ila ni sawa siku hizi madogo wanaanza shule wakiwa wadogo sana! Mm nilikuwa na miaka 10 la kwanza nimeanza na miaka7
Miaka 6,
Hata hiyo miaka 10 bado ulikua mdogo jamani kha, mimi nimekuja kupenda nipo form 3, nilianza kumcrushia mtoto Radhia 🙌🏻
 
Miaka 6,
Hata hiyo miaka 10 bado ulikua mdogo jamani kha, mimi nimekuja kupenda nipo form 3, nilianza kumcrushia mtoto Radhia 🙌🏻
Daah miaka nane tu sijui nilikua na vutiwa na mademu na wafanyakazi home nimechapa sana
 
Sassaa mbona sielewi,... tusipowatongoza mnatuita madomo zege. Tushike lipi sasa?
 
Mwanaume usitongoze? Umesikia wapi. Hata hivyo unakula vyuma vyao Sasa hayo macomment uta print upate notes.

Yaani tena nikimzimikia mwanamke lazime nime mistari. Hapa penyewe kwenye daladala namona mdada tatizo anaongea na mwenzie ningemuimbisha.

Kwa taarifa yake Mariposa, tunaweza kukutongoza na usiliwe vile vile.

Kama alivyosema mkuu mmoja pale juu wenye D mbili wamekuelewa
 
Shida mawazi na muonekano wako unavyokaa ukikutana nae
 
Kutongozwa ni kuombwa,
Unapoombwa Una hiyari kukubali au kukataa.
Anaye kutongoza hajakuvunjia heshima, amekuheshimisha
Kitendo cha kumshtaki kwa mumeo ndiyo kinachovunja heshima ya aliye kutongoza.
Hata wazazi wako walianza kwa kutongozana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…