Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua😠😠
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!

Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!

Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,

Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.

Adios!
Ulitaka AKUTONGOZE BABAAKO WE DADA UNATATIZO SIO BURE
 
Kwa hiyo baba yako na mama yako hawaheshimiani ? Acha ushamba basi
 
Hebu toa kitumbua hicho acha uchoyo.
 
Sperm Insemination
Tabu yote ya nini bibie mpaka uhangaike na IVF magharama yote hayo?!
Kumbe still unajua umhimu wa sperm
zetu wanaume.
Naamini hata huyo aliye donate sperm ulimchagua steadly ili qualifications zake ziende sawa na matamanio yako.
So you should admit kwamba hisia na mwanaume haziepukiki.

Toa utamu mama hujapata wa kukuandaa na kukukuna vizuri. Ipo siku utatengua msimamo.

Mwenzio marehemu Mirembe(rip) alikuwa kama wewe na alioa ke mwenzie, ila sometimes mara mojamoja aliruhusu kuchapwa nao mkia ili apate watoto.
 
Dr. Mzima unalalamika kutongozwa,,hivi nyie wasomi uchwara huko shule mlisomea ujinga???!!!!

Naungana na wanaosema HILI NI TANGAZO LA KIMKAKATI.UNATAFUTA KUTONGOZWA KWA NAMNA YA KUFOSI😀

Hakuna logic behind ulalamishi wako.Unakuta mwenyewe mshamba mmoja na makunyanzi yako jua la saa kumi unakaa kabisa unaandika mada za ajabu ajabu.VIBIBI VINGINE, VICHAWI!!!
 
Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua😠😠
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!

Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!

Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,

Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.

Adios!
jirani acha kunichoma nahitaji kukuoa, naleo nakuja kukula kimasihra
 
Dr. Mzima unalalamika kutongozwa,,hivi nyie wasomi uchwara huko shule mlisomea ujinga???!!!!

Naungana na wanaosema HILI NI TANGAZO LA KIMKAKATI.UNATAFUTA KUTONGOZWA KWA NAMNA YA KUFOSI😀

Hakuna logic behind ulalamishi wako.Unakuta mwenyewe mshamba mmoja na makunyanzi yako jua la saa kumi unakaa kabisa unaandika mada za ajabu ajabu.VIBIBI VINGINE, VICHAWI!!!
Kama wewe ni mwanaume na umeandika haya basi rudisha kende za watu na uje nikupake make up na kukuvesha kijora👌
 
Back
Top Bottom