Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Hapa nakazia kabisa,, natumia spana kabisa kukazia
 
Mtu akikupenda ni kukuvunjia heshima? Hii nchi ngumu sana.
Hawa madokta tuwasamehe bure kuna mwenzao ametusanua wanalipwa laki nane mpaka millioni mbili unusu.

Yaani mikoti yao yote ile na mbwembwe za vile vidude wanaweka shingoni mshahara mkubwa kabisa 2.5M.

Madokta wanastress.Hata huyo Dr.Makopo kalanduka na stress za usomi uchwara mshahara mbuzi😀😀😀

Hawa madokta wanahitaji kutongozwa sana ili kuwapunguzia stress za vipato,parttime hazitoshi.

Nashauri waliwe kimasihara.
 
We unalipwa milioni ngapi? majibu yaendane na ushahidi sio porojo.
 
Hyo kawaida wanaume tunacheza pungufu kina watu kama kina uncle T, na juma lokole wanatakiwa kuwakilishwa wale.

mi siogopi kutongoza siangalii umri kuna mshangazi mmoja unafanya kazi oman ilikuwa tunaheshimiana hivi hivi ila sasa hivi akirudi lazima anitafute na kila kitu analipia yeye lakini ni mkubwa kwangu kwa hyo madam usishtuke wanaume wenyewe tupo wachache sasa hivi mimi kuna wabunge wawili wa bunge la Tanzania niliwatongoza mchana kweupe wabunge gen z nakula nao sahani moja mwanamke kutongozwa kawaida wewe nani usitongozwe.
 
Kutongozwa si jambo la ajabu, llinaweza kuwa la kawaida ikitegemea mtu anayekusimamisna ni wa namna gani. Hakuna mwanamke asiyetongozwa, muhimu ni kukataa au kukubali na pia usijiweke tu mazingira ya kuhatarisha ubakwaji.

Ukitongozwa na unajulikana una mtu, hiyo ni dalili ya dharau kwa mtu wako na huyo anayekutongoza. Mwachie yeye ndiyo achukue hatua.

Kama si kudharauliwa yeye basi jua hao wanawake wa mtaani kuna mmoja anataka kuvunja uhusiano wenu achukue nafasi yalo au unajiweka mazingira ya kutamaniwa kama wamekuja kwako tu.

Utavaaje kaptula ukaenda ndani na yupo mwanaume mwenyewe? Hatuishi Marekani

Pia Ukitongozwa wewe na huna mtu ni mamuzi yako kukubali au kukataa bila shida wala kutangaza.​
 
Kichawi hiki

Maisha yake full utata

1.Eti kapanga tena ana mpenzi asiyejulikana alipo.! Mpemba kataka kipoozeo cha pili kamnyima.!

2.Mwengine kamkuta kihasarahara katupa ndona ile🤭
 

Attachments

  • facebook_1784330611585.mp4
    2.5 MB
Mbona kama shida iko kwako , kwani ukisema hutaki unabakwa si mtu anaondoka zake ! Mnapenda kujipa umuhimu kufanya kama kutongozwa ni kitu cha maana sana 😂 kutongozwa kwa maneno ya kawaida ni kushawishiwa au mtu kueleza anawaza nini kuhusu wewe na angependa muwe vipi.

Wewe kataa kwa lugha rahisi tu "kwa heshima niliyojiwekea na mipaka kwako hatuwezi kuwa wapenzi" ongea kwa kumaanisha mtu mbona kibingwa tu anajikataa 😂 Sasa unataka kupiga kelele za nini na pua lako hilo.

Utakua mitongozo unapata adimu sana au sura za baba lakini huo ni utaratibu wa wanaume wote kutongoza jifunze tu kusema hapana. La sivyo hapa kila siku utakua unashusha nyuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…