Acha uchoyo! Mnapewa bure na kuitaka ila mnajifanya kuleta ubishi tu!Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua๐ ๐
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!
Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!
Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,
Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.
Adios!
Kwamba mumeo / mkeo huna heshima na yeye kwakuwa huwa mnavuana nguo, sio!?Mbona mnashusha sana essay vipi wazee!? basi kuanzia leo nitakua nawapasia mitongozo ninayopewa๐๐๐
Sio kwa hasira hizi na wengi mlochachamaa mnanuka makwapa
Halafu ww ni dume... umeota manywele mpaka mgongoni leo unajifanya demu.Mbona mnashusha sana essay vipi wazee!? basi kuanzia leo nitakua nawapasia mitongozo ninayopewa๐๐๐
Sio kwa hasira hizi na wengi mlochachamaa mnanuka makwapa
Wanaume wengi tuliooa wake zetu walikua wanatuita kakaNyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua๐ ๐
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho, umetoka kuliamkia linakuja kukwambia "nakupenda sana kwa kipindi kirefu...." seriously!!!!
Jirani yangu niliyekua namuheshimu, namuita kaka, leo asubuhi asubuhi kaja kwangu anajifanya kuomba miche ya michai chai wakati nampa kisu akakate, si ndio ananishika mkono eti anajifanya yupo serious anamaanisha anachokisema nalinukuu "samahani mdogo wangu kama nitakukwaza lakini mimi navutiwa sana na wewe, naomba unikubalie tufanye maisha utafurahi", nilimuangalia kwa hasira nikautoa kwa nguvu mkono wake nikamwambie atoke nyumbani kwangu kabla sijapiga kelele, likatoka bila haya wala soni, WTF!
Kuna huyu mzee pia enzi hizo bado tunapanga, nilikua namuheshimu sana alikua mpemba nikawa namuita anko, huyu baba mwenye nyumba hakua akiishi hapo ila tulivyohamia na yeye akaja kuishi kwenye one of his apartments hapo hapo, siku moja ilikua jioni akanitumia meseji niende kwake, nakumbuka nilikua nimevaa a short pant na vest ilikua msimu wa joto, so nikaenda nikamkuta sitting room akanikaribisha akaniofa juice au soda nikamwambia i'm good, basi akaanza kutiririka, huyu mzee ana mke na watoto, namnukuu "Mariposa unajua wewe ni mrembo sana, sipendezwi na life style yako, nataka nikuoe tuzae watoto wawili tu sitaki niuchoshe mwili wako, baada ya hapo utaamua kuendelea na mimi au kurudi kwenye mambo yako ila watoto nitawalea mimi, nahitaji urithi wa hizi mali...." nilibaki nimeduwaaa maswali mengi yalipita kichwani nikakumbuka nilikua nimevaa kihasara hasara nikapata hofu asije akanivamia wee acha nitoke nduki, nikakimbilia ndani nikafunga milango na madirisha natetemeka, mpenzi wangu alikua kasafiri, nikampigia simu kumwambia akanicalm down akasema acha niongee nae mimi, lakini sikua na amani tena ndio sababu ilinifanya nikahamia kwenye nyumba yetu ikiwa bado hata haijaisha,
Ifike mahali nyie watu wazima visheti mjiheshimu kama mnavyoheshimiwa, kutamani tamani hovyo mtakuja kukutana na visivyoliwa oooonho msiseme sikuwaambia.
Adios!
Dr..naumwa nahitaji nije unapotolea huduma.Kama sipendi je
Wewe utakuwa muuza nyapu tu huna lolote kwani ukitongozwa ndiyo heshima inakwisha?huyo unayesema bana yako yeye alikupataje?hajakutongoza?au hamuheshimiani?Acha upumbavu.Zee la hovyo
Sijui kwanini hamnielewi, SITAKI KUTONGOZWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAKwamba mumeo / mkeo huna heshima na yeye kwakuwa huwa mnavuana nguo, sio!?
Hilo ni tendo la kiuumbaji ambalo halikwepeki isipokuwa kwasababu fulani ambazo zipo juu ya uwezo wa binadamu
Sawa mtoto soft soft nitakupapasa wewe kwenye mgongo lainiiiiii kama ngozi ya konokonoHalafu ww ni dume... umeota manywele mpaka mgongoni leo unajifanya demu.
Wanawake wote wana mvuto, tofauti ni macho yetu tu ya kuona huo mvutoMwanamke yeyote mwenye mvuto kutongozwa hakukwepeki,labda uwe na sura kama ya mzee tupatupa
Aiseeeeeee!Wanaume wengi tuliooa wake zetu walikua wanatuita kaka
Ni binaadam nisiyetaka kutongozwa hasa na watu niliowapa heshimaTafuta kwenye Kamusi ya Kiswahili kama neno - KUTONGOZA- lina maana ya kwamba ni -TUSI- la kukufanya mpaka ukasirike hivyo!!?
Yaani hata neno -NAKUPENDA-lenye kueleweka moja kwa Moja hata kwa mtoto mdogo ,nalo kwako ni Kero!!?Wewe ni Binadamu gani sasa!???
Sasa ni Binadamu gani wewe unayechukizwa na yasiyochukiza,kwani ni tusi kufanywa hivyo na yeyote??!Ni binaadam nisiyetaka kutongozwa hasa na watu niliowapa heshima
Mshahara wa mwisho wa daktari wa digrii moja siyo huo uliousema hapo, wacha kupotosha Umma.Hawa madokta tuwasamehe bure kuna mwenzao ametusanua wanalipwa laki nane mpaka millioni mbili unusu.
Yaani mikoti yao yote ile na mbwembwe za vile vidude wanaweka shingoni mshahara mkubwa kabisa 2.5M.
Madokta wanastress.Hata huyo Dr.Makopo kalanduka na stress za usomi uchwara mshahara mbuzi๐๐๐
Hawa madokta wanahitaji kutongozwa sana ili kuwapunguzia stress za vipato,parttime hazitoshi.
Nashauri waliwe kimasihara.
Huyo kuna siku alisema yeye ni msagaji so hawezi kuwa na hisia na mwanaumeSasa ni Binadamu gani wewe unayechukuzwa na yasiyochukiza,kwani ni tusi kufanywa hivyo na yoyote??!
Hata me ningemtongoza kuna demu kapambana kapata namba yangu ghafla ananiita kaka! Akajua sitotongoza oya mbona hakuamini macho yake๐๐Hatar sana ๐๐๐ itakuw jamaa range ya umri ilikuw kubwa kidogo
Uongo ww na madem wapi na wapi ๐Hata me ningemtongoza kuna demu kapambana kapata namba yangu ghafla ananiita kaka! Akajua sitotongoza oya mbona hakuamini macho yake๐๐
Ila migegedo nawasihi tu tuwe makiniMi ndo sijielezagi namna hiyo huwa naenda direct kwenye point... "unajua wewe ni mzuri? Njoo basi unitembelee geto baadae" ndo nimemaliza kusuka au kunyoa ni wewe na ukikubali ndo suala la namba na mambo mengine ya mgegedo yanafuata.