Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

😅😅😅Hapo kwenye kichwa Cha pua hapo.
Halafu hawanaga haya Hawa
 

Mbona umetokewa kistaarabu kabisa...
 
Mariposa eeeh nakupenda sana tangu zamani ila nilikuwa sijapata muda wa kukuelezea hisia zangu, nakupenda sana , naahidi kuwa na wewe kwenye raha na shida hutojutia
🤪🤪🤪🤪

Na mie nimemtongoza aje na jeuri napo
 
Mariposa eeeh nakuoenda sana tangu zamani ila nilikuwa sijapata muda wa kukuelezea hisia zangu, nakuoenda sana , naahidi kuwa na wewe kwenye raha na shida hutojutia
🤪🤪🤪🤪

Na mie nimemtongoza aje na jeuri napo
Hapooo kwenye kipengele cha SHIDA, nani anataka shida usawa huu,

Shindwaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…