Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

Huwa nikikuona wewe nachanganikiwa kabisa, moyo wangu umeacha kusukuma damu kwa ajili yako.​
 
Kwani shida iko wapi hapo?
 
Sasa ubaya uko Mariposa na wewe ? Kutongozwa nako huongeza thamani ya mwanamke sasa ukikaliwa kimya si utajiona una nuksi na mikosi?

Chukulia kawaida tu hiyo ndio sifa ya mwanaume rijali. Mwenye nia mbaya na wewe hawezi akakufuta na akakutongoza angetumia njia yoyote kutimiza haja zake za kimwili

Elewa mwanaume akitaka jambo lake hashindwi aisee 😅😅😅
 
Kwahiyo wewe unataka utongozwe na wale usiowaheshimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…