[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa aliamka saa ngap?Part gani? Nilienda kwenye bday ya mtu akanishobokea simjui hanijui. Nikaliwe kifala hivyo na mtu nimemuona na havutii hata robo.
SawaMazuri ni yapi? Au hujaona jukwaa?
Duh me siendelei kusema ila imeniuma sn maana ww ni mpendwa nakuonaga kwenye mapambio J2 sasa huu uzi duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwanini jamani? Ni mimi siku moja moja
Duh me siendelei kusema ila imeniuma sn maana ww ni mpendwa nakuonaga kwenye mapambio J2 sasa huu uzi duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwanini jamani? Ni mimi siku moja moja
Mnajuaga kujimaliza hadi raha.Wanawake wa mjini wa dizaini hii wengi ni wauzaji tu.
Siku ya kazi saa 8 usiku mtu yupo bar kakaa na mwanaume meza moja unapata picha halisi kabisa lakini wakija humu wanajifanya wapo class ya juu.
Na usishangae ukasikia mtu wa namna hii ana mtt mdogo nyumbani lakini saa 8 ya usiku yupo bar.
Hahaha hata me naona [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji106]Wapendwa pia tunasafishaga koo kaka
HahahahahahahaWanawake wa mjini wa dizaini hii wengi ni wauzaji tu.
Siku ya kazi saa 8 usiku mtu yupo bar kakaa na mwanaume meza moja unapata picha halisi kabisa lakini wakija humu wanajifanya wapo class ya juu.
Na usishangae ukasikia mtu wa namna hii ana mtt mdogo nyumbani lakini saa 8 ya usiku yupo bar.
Ndio napokupendeaga hapo,wewe wala hunaga tatizo na mtuKaa tu. Wala unayohisi yatakuwepo hayawezi. Nasoma tu watu wanavyojimaliza halafu nacheka.
Kosa lako we kwanini umemtafuta asie na cash$$$ af unakuja kuwaimba wanaume huku.Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaa tu. Wala unayohisi yatakuwepo hayawezi. Nasoma tu watu wanavyojimaliza halafu nacheka.