Wanaume mna shida sana

Wanaume mna shida sana

Hahaha siamini km huu uzi ni wako [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hivi kweli ni ww au umemwandikia mtu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwanini jamani? Ni mimi siku moja moja
 
Wanawake wa mjini wa dizaini hii wengi ni wauzaji tu.

Siku ya kazi saa 8 usiku mtu yupo bar kakaa na mwanaume meza moja unapata picha halisi kabisa lakini wakija humu wanajifanya wapo class ya juu.

Na usishangae ukasikia mtu wa namna hii ana mtt mdogo nyumbani lakini saa 8 ya usiku yupo bar.
 
Duh me siendelei kusema ila imeniuma sn maana ww ni mpendwa nakuonaga kwenye mapambio J2 sasa huu uzi duh
 
Wanawake wa mjini wa dizaini hii wengi ni wauzaji tu.

Siku ya kazi saa 8 usiku mtu yupo bar kakaa na mwanaume meza moja unapata picha halisi kabisa lakini wakija humu wanajifanya wapo class ya juu.

Na usishangae ukasikia mtu wa namna hii ana mtt mdogo nyumbani lakini saa 8 ya usiku yupo bar.
Mnajuaga kujimaliza hadi raha.
 
Wanawake wa mjini wa dizaini hii wengi ni wauzaji tu.

Siku ya kazi saa 8 usiku mtu yupo bar kakaa na mwanaume meza moja unapata picha halisi kabisa lakini wakija humu wanajifanya wapo class ya juu.

Na usishangae ukasikia mtu wa namna hii ana mtt mdogo nyumbani lakini saa 8 ya usiku yupo bar.
Hahahahahahaha

OMG...ngoja nitoke hapa
 
Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
Kosa lako we kwanini umemtafuta asie na cash$$$ af unakuja kuwaimba wanaume huku.
 
Back
Top Bottom