Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini?

Naomba nizingatie hiyo kauli kama zamani

Hivi kama gari lako umeona kila dereva haendeshi kama zamani rudi kutazama ubora wa gari lako kwa sasa mambo mengi yanaanza nawewe.
Unaweza kuta tatizo si gari, bali dereva hajamaliza mafunzo NIT na hakufuzu kupata cheti
 
Nakuomba PM kama itafaa nikufute machozi kama hutojali Nusratt
 
Nipe namba yako lakini ukizidiwa dozi usilalamike dozi itachukua mwezi mzima
 
Wanawake kila kitu ni kulalamika tu na kutaka favoritism kama vile nyie ni walemavu. Sasa wajibu wenu kwenye jamii, uchumi na mahusiano ni upi. 50/50 mnayoitaka ni ipi. Huo usuper woman sijui umalkia wa nguvu mnajibrand nao implication yake iko wapi.
 
Unaweza kuta tatizo si gari, bali dereva hajamaliza mafunzo NIT na hakufuzu kupata cheti
Sawa ndiyo zaidi ya dereva mmoja shida ipo kwako kuna mdau kasema hapo kila kitu inaanza nawewe.

Siku hizi nyie sio kila mwanaume mnaekutana nae uwa mnampa tunda kwa lengo lakupata furaha bali mnamengine binafsi trust me huwezi furahia kwa mwanaume kama uyu ila toa tunda kwa yule ulompenda uone hata kma atatumia mda gani utaenjoy tu.

What's matter nani ulikutana nae na kwa lengo gani.
 
Mimi kumfanya mwanamke na kumkojoza utamu, anatakiwa awe wa 'kawaida' asiwe na maneno ya kuntia stress, awe ni mke, ama kama ni mchepuko abebe sifa nilizozotaja.

Lakini wakati nakufukuzia uwe ushanichamba sana na kunisimangia, uwe umenitoza hongo ili kukupata, hongo iwe kubwa kuzidi mahari, mshepu uwe extraordinary kama picha hiyo uliyoiweka, sitakuwa na utulivu katika kufanya mapenzi na wewe, ni lazima nitapanick tu..

Tukiwa faragha lazima nitakumbwa na kumbukizi mbaya za namna ulivyoninyanyasa kwa hali pamoja na mali, ndipo hapo mwili utakakamaa na kujiweka katika hali ya kujihami na kudhulumiwa na nguvu zote kuhamia chini kupambana ili kulipiza kisasi.

Kisasi hiki hakiwezi kulipizwa kwa ugomvi bali ni kwa kutumia nguvu za kiume zilizopo kwenye viungo vya uzazi na hapo ndipo lilipo tatizo!

Utakapotaka ushindane na ulipotoka kwa kutumia nguvu na jazba, matokeo yake ni kujikojoalea(preejaculation) kipumbaf pumbaf, hela zimeenda bure na mwanamke uliyemkamia umemshindwa.

Mwanamke unapotaka kukojozwa uwe humble na msafi.

Maneno ya nyodo na kudai hela ovyo ovyo zitakukosesha kukipata kile unachokipenda.
 
Cc: KENZY
 
Au realMamy una mawazo kama ya huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…