Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini?

Sawa usemayo ila mwenye wajibu wa kunikojolesha ni wewe mwanaume
Huo wajibu alimpa nani au unatoka kwenye maandiko gani?
Ukusema kwamba hukojoi ni Kama vile huwa unabakwa wakati wa tendo, yaani unasukumiziwa tu bila hiyari yako na labda kazi yako ni kutandaza miguu tu huku mwenzako anapambania hisia zake.

Ni simple Sana, wewe pia vuta hisia wakati mna do na utakojoa hata ile fungulia bomba…squirting.

Lakini wakati mwenzako anapalangana kujifikisha kileleni na wewe mawazo yako yapo sehemu Nyingine, huko kukojzwa sahau.

Usiwe mbinafsi ktk hisia, kazi yako sio kutandaza miguu pekee, hangaikia hisia zako pia- mpe distraction achelewe kukojoa wakati wewe unajiongeza pia kihisia na sio kujilalia Lala kizembe na unamwacha mwenzako anajimwambafai. Changamkia hisia zako pia mfike kileleni pamoja.
 
😄 😄 😄
 
Mwanamke anayemsubiri mumewe tu atakojozwa bila wasiwasi, tatizo wengi wenu saivi mmekubuhu! Mlishatembea na wengi, mlishafanya mengi kiasi kwamba mpaka uipate hiyo hamu ya kuingiliwa na mumeo ni mchakato mrefu sana.

Kimsingi mwanamke hu-enjoy mapenzi kwa mtu mwenye hisia naye, na wengi wenu sasa mpo kwenye mahusiano na watu wakati hisia zenu zipo kwengine.
 
Tatizo unachukuwa vibenten vina nyege mshindo havijui hata maandalizi vinarukia tu kama vinapanda baiskeli halafu vikitoka hapo vinatamba vimepiga bao tano.Tutafute wa kongwe wa hizi kazi
 
 
Unataka ubunifu Gani Sasa?mtu umeanza kuwekewa virungu ukiwa na umri mdogo na Kila aina ya virungu vingine size ya rungu la tembo vimeingia na kupanua kama bwawa halafu utegemee ubunifu Gani Sasa?
 
Nihangaike kutafuta pesa ili ule ushibe, uvae vizuri n.k halafu nihangaike tena kukukojoza, no way!...ni mwendo wa kimoja tu mm nikishakojoa hupaswi kuhoji.
 
Mkuu umemaliza kazi, maana kwa jinsi hawa ke walivyo wategeaji kuna sku watakuja kutegea kupumua halaf wafe au wazimie halafu lawama watutupie sisi.
 
Kukojozwa na kupigwa shoo mpaka ukimbie kitanda ni vitu viwili tofauti naona umeandika vitu usivyovielewa pole sana mdau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…