Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini?

Eti kuna nini?
 
Sasa hapo muhenga unafeli😃. Na yeye akiwa anatulia tu kakodoa mimicho kama chura wazungu watakuja kirahisi?
Raha ya tendo mkojozane, ingawa ni kweli mwanamke anatakiwa kufahamu nini au style ipi inamkojoza ili atumie hiyo njia kukojoa.
Kwanza ajiandae, bila yeye kujiandaa huo muda wa kuandaa mtu mzima hakuna.

Pili, sipendi mtu wa kujishughulisha sana. Hao wanaokatika kama feni hata siwataki. Tena akikaa tu akaisikilizia inatosha...
 
Kila mtu ashinde mechi zake
 
Hata nyie wanawake mbona hamtukojozi, nyie mnalala tu apo kama magogo sie tunajikojoza wenyewe kwa juhudi zetu 😏
 
Mkuu ungetulia kidogo kwanza hata mazishi yafanyike😎
 
waha watatu tofauti kuna mkopo wa sandals, perfume na sufuria au hotpot
Ni hatari nakwambia.. na ukute anabandika kidogo kidogo nguo na wigi dukani..nambie kuna kukojoa hapo!!🤣
 
Hapa mkuu umemaliza kila kitu hii kitu uko sahih kuna wanawake wapo kama magogo kias kwmb mpaka hata mwanaume kukojoa unashindwa mana anakata mpaka stimu mana jitu lipolipo tu halishughulik na chchte hasem kama unamkera au anafurahia yan unafnay kuotea tu.
 
Naomba nizingatie hiyo kauli kama zamani

Hivi kama gari lako umeona kila dereva haendeshi kama zamani rudi kutazama ubora wa gari lako kwa sasa mambo mengi yanaanza nawewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…