Wanaume mnajua mna matatizo

Mkuu nili wahi kuwa karibu na binti 1(rip), we were close na tuli kuwa tuna zungumza mengi.

Mipango ya hapa na pale, we even decorated mahali ninapo ishi.
for real I felt she was the one, na hata kwao wali nijua.

bahati mbaya ali pata ajali, bila hivyo ange kuwa ndo kituo changu Cha mwisho .

Beside sioni Raha ya kuruka Kama punje za maharage kwenye maji.
 
.......muwapunguzie mateso jamani. Dada wa watu uchumba unakaa nae miaka 5 kisha unaenda oa mwingine jamani, ujue kuweni na imani walau kidogo.
mkuu me before dating, lazima tuulizane kwanini tuna kuwa kwenye mahusiano ??.

is it for fun , Kama yes, then I'm out.
Kama yenyewe we make it no matter what .
 
Mkuu sio ata ni hata!.
 
mkuu me before dating, lazima tuulizane kwanini tuna kuwa kwenye mahusiano ??.

is it for fun , Kama yes, then I'm out.
Kama yenyewe we make it no matter what .
Hakika ww ni mfano wa kuigwa, lakn wenzio hawaulizi zaid sana wanadanganya ooonh nitakuoa.....si mwanamke tu anapotezewa muda hata ninyi wanaume kuwa kweny mahusiano ambayo hujui hatma yake ni kupotezeana muda.
 
Hakika ww ni mfano wa kuigwa, lakn wenzio hawaulizi zaid sana wanadanganya ooonh nitakuoa.....si mwanamke tu anapotezewa muda hata ninyi wanaume kuwa kweny mahusiano ambayo hujui hatma yake ni kupotezeana muda.
angalizo, kuachwa kupo kutokana na Sababu mbali mbali.

mfano, kuona hakuna chochote Cha thamani mwenza wako alicho nacho, kitu pekee ni ngono(arghh).

Mwenendo mbovu wa tabia na maamuzi. BlueIvy
 
Kupata kazi sio kujipata, ana kazi lakini bado kuna watu kwao wanamtegemea na kuitaji awahudumie, sasa hataki kuongeza liability nyingine.
Na pia kashaona wewe ni mzigo mzito, utamuelewa na jahazi linaweza kuzama
 
One of the most difficult task.
 
Hizi hasira zote ni za mwezi dume January, Mi naonaga mifugo tu ndo hainaga muda wa kusubiri, mwanamke ukishamfikisha ndani akaona ulivyo anaanza kuwaza na kulinganisha sehemu alizopelekwa hapo awali, usipokuwa makini Kuna vitu vyako vitasombwa na huo ndo unakuwa Mwisho wa kujuana, ifike hatua muwe mnawauliza hata mama zenu walivyofanikiwa kukaa hata Kwa machale kwenye ndoa zao na kwazaa ninyi.
 
Mkuu hapo ukimaanisha wewe unakuwa tiyari ushajipata uko na pesa na kazi yako kwa ujumla? ......au wewe suala la kutafuta pesa na kujipata halikuhusu?
🤣🤣 Ajipate saa ngapi !! Yeye kazi yake ni kudemand ndoa ! Vijana msioe mpaka mtakaporidhia kwamba mpo tayari kwa jambo hilo !!
Ndoa ni jambo jema ila utayari wa watu wote wawili ni muhimu sio suala la mmoja kuamua !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…