majoto nafasi ya kukwambia kuwa mapenzi sio pesa nikiipata unadhani utanielewa? Hivi huwa mnatumia muda kiasi gani kujua kuwa mwanaume yupo serious? By the way mnapiga mizinga isiyoeleweka kutaka pesa kwa malengo ya kutupima aisee hichi kipimo sio acha tu tutoke nduki ha ha ha ha!
Huwa mnasema ivo, hakuna mwanamke atakubali asipewe hata 100 kwa kile mnachokiita siku izi "kujaliwa". Hata wewe imani inakusuta.
Kwa hiyo kila nikiomba tuwe pamoja ili nikufahamu vizuri nivumilie mizinga ? kwa sababu kuwepo pamoja sio kugegedanaWanaolalamika sio wanaochunguza tabia, ni wale wanaotaka vya bure. Kumchunguza mtu ni muhimu sana
there is no way wewe umeolewaa....kama umeolewa mmeo anajutaaa anatamani apewe nafasi ya kuchagua mkee mwinginee[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Huwa mnapiga mizinga, mkikataliwa ndo mnakuja na kauli za " unashindwa kunijali".Kuna tofauti kati ya kumjali mpenzi wako na kupigwa mzinga.
Hiyo point yako ya "vya bure hakuna" inamaanisha ninyi mnatuuzia *k* sema tu ww unashindwa kuwa honest about it. Bhasi kuanzia leo na mimi ntaanza tabia ya kukomoa wadada kwa kuwaomba pesa ili ngoma iwe droo majoto
Huwa mnapiga mizinga, mkikataliwa ndo mnakuja na kauli za " unashindwa kunijali".
Hata wakilia bakora wanazoππππ Watapata tabu sana mwaka huu
Nakuja nikuone kama unaweza mshika simba Mwenye njaa shurubu zakeSio kupiga tu, nakaba kabisa hata sauti yako haitasikika humu
Dada umemwaga povu kama umemeza cd ya mchiriku.Nimefanya utafit mdogo tu humu nimegundua wanaume mnalalamika sana kuhusu wanawake kuwaomba pesa, kuwapiga mizinga, kutotosheka na mnachowapa na mengine kibao. Jamani eee hebu acheni kulalamika kwa kuwa hayo mmeyataka wenyewe. Unatafuta mwanamke ili uwe unamwaga grisi chafu hapo na unataka akuhurumie asikuombe chochote! Haiwezekani hata kidogo. Wewe kama unajiona unahitaji mwanamke kwa nini huoi? kwa nini usimchukuwe jumla? muweke ndani maisha yaendeleee....Lakini hii biashara ya malalamiko yasiyo ya msingi humu tumeichoka! Acha wawapige mizinga hadi mtie akili na kutafuta ufumbuzi ambao ni wa kubeba jumla. Hamjifunzi wa baba zenu? hamuoni wametulia na mama zenu?
Tofauti na hivyo mtaishia kulishwa malimbwata, kudharauliwa, kupoteza muda kuwaza maumivu ya kutendwa badala ya kuwaza na kupanga maisha. Ukweli ni kwamba simhurumii hata kidogo mwanamume anayepigwa mizinga! Pigweni tuuuuuuu.... good day kwa wapigwa mizinga wote
Una concept but hii haifanyi kazi kwa wanawake wote. baadhi ya wanawake hata ukiwa na malengo na umeonyesha dhahiri bado watapiga vibomu.Mwanamke anayekuona uko serious wala hawezi kukuomba pesa leo leo, ila akikuona ni mtaka vya bure anaamua kukukimbiza kwa kukuomba pesa, anajua tu utakimbia na makelele kibaoo ... marioo wanapata tabu sana.... hakuna kubebwa ovyo.... mtajie pesa mbiiiooooo
Nilimpenda dada mmoja hivi nikawa naye miezi mitatu tukikutana nae ni story tu .sasa siku hiyo akaniambia Unajua mimi nakupenda sana wangu. unajua anenipenda mama yangu mzazi tu, akanyamaza tulipoachana akanitumia sms ya kuomba 20k nikamwambia wangu sasa hivi sina vumilia kidogo akanitumia sms achana na mimi kwanza wewe ni mwanaume suruali [emoji56][emoji56][emoji56]Ukitaka kumkimbiza mwanamume mpenda vya bure muombe pesa. Utakapoona unaombwa pesa at the beginning ujue unatishiwa nyau ili ukimbie...ukitoa zinaliwa na zinaombwa nyingine. Muonyeshe mwanamke kama uko serious hatakuomba pesa, na akikuomba jiamini kumwambia mapenzi/mahusiano si kuombana pesa, atakuheshimu na kukuangalia kwa upya kwamba uko serious.