Wanaume mnalalamika sana, tumewachoka!

Napingana na ww kwenye hili si wanawake wote.
Na si kwa wanaume wote. Binafsi nina kazi inayonipa kipato kizuri tu.

Tatizo wanawake ninaokutana nao , wanawaza kuwa nawatamani..kumbe nina malengo kabisa ya wazi. Mwingine nilishampeleka hadi nyumbani.

Kuhudumia si ishu kwangu.. nahudumia uchumba hadi ndoa. Tatizo ni pale mwanamke anapogeuza kuwa ww ndio mwajiri wake.
Anakufanya baba mzazi na wakati hata mahari hujatoa.
Kuna pattern flani hiv za uombaji pesa gold diggers huwa wanatumia sana.. na hiki kitabia ndio kipo mjini.
Mm kama mwanaume nilie serious ukinionyesha hivyo vitabia vya kuomba pesa bila mpangiloo... lazima niingie hofu.
 


Pole. Ninahisi huyu mwanamke ulianza wewe kumpa pesa kabla hata hajakuomba. Sasa aliponogewa na kuanza kukuomba ukaanza kumuona hafai.... Kama haikuwa hivyo ulifanya vema kumpiga kubut maana hafai... wapo wanawake wenye tabia hiyo!
 
Huu ndio ukweli ambao hawataki kuusikia.
Mwanaume yuko serious lakin mwanamke hayuko serious..
 
Nimecheka tu... maana si kwa mchiriku huu Detective J ... nimekuelewa bana illla ukweli unabaki pale pale. Unajiona unataka burudani tafuta mke, nje ya mke mizinga haikwepeki.
Unataka tupige puchu wakat mpo Noo ni mwendo wa kupiga mbupu mpaka mnyooke blalifuu
 

Nakubaliana na wewe na tusitoke nje ya uzi.
 
Unataka tupige puchu wakat mpo Noo ni mwendo wa kupiga mbupu mpaka mnyooke blalifuu
Kama ndio hivyo piga kimya kimya kelele za nini😀😀😀😀
 
majoto . . . Mimi binafsi ni mkweli, sijawahi kujenga mahusiano na mwanamke kwa kumuonesha namiliki nini, au kumjengea mazingira ya kumvuta kwa pesa. Siku zote huwa nakwenda kuanzisha mahusiano nikiwa mimi kama mimi huwa nakwenda na vitu vitatu; akili, mdomo na bahati niliyozaliwanayo, pesa hata kama ninazo naziacha nyumbani. Kwa kweli nimegundua mwanaume awe mkweli, asiwe mkweli mizinga kwenu haiepukiki tena mizinga yenyewe haina kichwa wala miguu eti baby naomba 50,000 kuna lotion nataka kununua... Ha ha ha ha njaa njaa njaa! majoto wewe umeolewa?
 
“Katika kila watanzania wanne mmoja ana matatizo ya akili” - Mh. Ummy Mwalimu
 
K hata hzo za kuoa zinaenda kupukuliwa nje ya ndoa. Wanawake siku hz hamna.ukiona inafaa zalisha lea mtoto ndoa waafate kwingine maana wanapenda kuto ombesha hovyo hovyo
 
Wanaolalamika sio wanaochunguza tabia, ni wale wanaotaka vya bure. Kumchunguza mtu ni muhimu sana
Hivi tuambie unaweza je kumtambu mtu kuwa anataka vya bure, kabla hata hajakuomba papuchi?
 
Siku mbili mbona nying sana! yaani , yaani unamtoa mdada out, unalipa bili zote, tuseme hana usafiri una offer kumrudisha nyumbani; ukimshisha hata huja maliza mtaa wa kwao unatumiwa meseji eti umeme umeisha nitumie pesa nikanunue. hii ni hatari sasa sijui kwa mjibu wa mleta uzi hapo mtu anakuwa amekupima vipi kuwa hauko serious wakati umekaa nae ummekula, kunywa K hujamuomba mpaka una mrudisha kwa
 
Hii yote msingi wake ni papuchi, papuchi ni kitu nyingine kabisa
 
Tatizo lao kubwa wengi wao ni wanapenda vya bure na sio majukumu.
Sio wanapenda vya bure. Wewe Kama unauza unasema ni pesa ngapi ili muelewane tu.

Huduma yenyewe humpi aafu unataka kupewa hela kila wakati.!!
Si afadhali akanunue wanaojipanga akimaliza anaacha Kash kila mtu anatawanyika
 
Unampa ela na mengineyo mwisho wa siku utaskia ooh ana kibamia, mara hajui kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…