Wanaume mnaocheza vikoba mnatia aibu

Si huwa mnachangiana pesa then mmoja anachukua?
Ndio na faida tunagawana kwa wanakikundi wote kila mkopo mkubwa una riba ya asilimia kumi acha mikopo ya chap chap ya mwezi mmoja nayo ina riba kuna faini za watu wasiohudhuria kicoba zote zinakusanywa ndio faida ya kicoba mwisho wa siku mkivunja unapata hela yako na faida juu
 
Kumbe vina faida namna hiyo. Kwa maana hiyo nyie wanavicoba ndio mnafanyq vionekane havina faida kwa kukopa halafu mtu hana biashara matokeo yake kulipa ni mpaka apate aibu.
 
VICOBA= Village Community Bank hubadilika na kuwa SACOSS kama unasikia Hazina Sacoss. Sasa hivi maofisi karibia yote ya VIcoba vyao.
 
Sijawahi cheza vicoba lakini naona umepwaya sana, pesa inatafutwa kwa kila namna maadam ipatikane, na ikipatikana heshima ni ile ile.
Hapa umekurupuka
 
Kumbe vina faida namna hiyo. Kwa maana hiyo nyie wanavicoba ndio mnafanyq vionekane havina faida kwa kukopa halafu mtu hana biashara matokeo yake kulipa ni mpaka apate aibu.
Na ndio maana kwenye form ya kukopa kuna sehemu ya kuweka dhamana ya vitu vyako unaorodhesha vitu kutokana na thamani ya mkopo unaochukua

Mwisho wa siku haujaleta marejesho inachukuliwa akiba yako inalipa deni haitoshi wanachukua baadhi ya vitu vya dhamana vinauzwa hela inarudishwa naona utakuwa umeelewa mkuu
 
'hey' sishauri uitumie vile vile
 
usalama unakuwaje kwasababu naskiaga sana story za mtu mmoja kukimbia na hela zote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…