Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sanaHapana. Ni mtu anayewaza ngono muda mwingi...
Ooh hapo nimekuelewa vizuri sana bossTatizo watu wanachanganyq upatu na vicoba. Vikoba vina utaratibu unaoeleweka na kuna watu wanakopa hadi 20m kwenye vicoba na wanasomesha watoto.
Umembiwa neno Vicoba (vikoba) wewe unandik kirefu acha ujuajiVillage community bank ni jina la kikekike?
Upatu ndio mnaocheza mnakuwa mnapeana pesa Kwa kiwango sawa mnapanga muda kama ni wiki au mwezi anapewa mtu pesaUpatu ndio vikoba au ina tofauti mbona hamtueleweshi vizuri
Sisi tuko watu 10 na kila mmoja anatoa 6m kwa mwezii na baada ya miezi kumi kila mmoja anakuwa amechukua zake x 10
Sasa kama ni aibu basi na iwe tu 😄
Kama vikoba ina tofauti tuelimishane
Mi nafikir hii inasaidia Kwa wenye malengo ya muda mrefu na wanahitaji pesa nyingHebu elezea vizur mkuu ni mnazikusanya halaf mnakopeshana? Maana ukisema mnakua mnachangiana ni mzunguko wa mwezi had mwezi sasa hela yakufanyia kitu haraka inakuaje hapo au mfano mpo sita na wewe ni wa sita si unasubiri hadi ufikiwe? sasa kusubiri ufikiwe si ungezitunza mwenyewe tu kwa nidham. Kuliko risk za huko maana wabongo tunajuana, Au mimi naelewaje?
Kiukweli km mtu haupo makini hali ni ngumu hasa kipind Cha marejesho na wengine ndoa zinavunjika kabisa vikoba nafikir vinawafaa walio na kazi au biashara na vinawasaidiaHuwa mnaliwa sana sababu ya vikoba mi mke wangu nilimwambia nikisia vikoba nakunyonga
Mpaka sasa mwaka 12 huu sijamuona
Wanaliwa sana kupata hela ya marejesho
Juzi sista angu kataitiwa laki 5 na ushee rejesho bora akaniambia kaka ake nikaclear vipi angewafata wahuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa neno vicoba lilishushwa kutoka mbinguni hadi lisiwe na maana yake? Acheni upumbavu vijana.Umembiwa neno Vicoba (vikoba) wewe unandik kirefu acha ujuaji
Sasa neno vicoba lilishushwa kutoka mbinguni hadi lisiwe na maana yake? Acheni upumbavu vijana.Umembiwa neno Vicoba (vikoba) wewe unandik kirefu acha ujuaji
Vimada community BankIla wanaume mna limits za kingese
Shida ya vicoba ni ipi
Na bank zinavyopiga mnada Nyumba zenu siyo aibu?Ni upumbavu mwanaume kucheza vicoba na upatu
Ufuate na masengenyo ya wamama ukikwama marejesho
Ni aibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo angekopa CRDB wangemsamehe deni?Huwa mnaliwa sana sababu ya vikoba mi mke wangu nilimwambia nikisia vikoba nakunyonga
Mpaka sasa mwaka 12 huu sijamuona
Wanaliwa sana kupata hela ya marejesho
Juzi sista angu kataitiwa laki 5 na ushee rejesho bora akaniambia kaka ake nikaclear vipi angewafata wahuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Anha sawa sawa. Hii inawafaa wazembe wazembeMi nafikir hii inasaidia Kwa wenye malengo ya muda mrefu na wanahitaji pesa nying
Kunamtu ana kipato Cha million Kwa mwez lakin kusave laki 5 ni changamoto ndo Huwa wanatumia njia hii
Usiwatafsirie watu Kuna mtu anakipato Cha elf 5 had 10 kwasiku nanalengo la kupata laki 3 inaweza kumsaidia njia hii kujikwamua sio uzembe ni njia ya kusave piaAnha sawa sawa. Hii inawafaa wazembe wazembe
Benki zinajulikana mkuu. CRDB, NMB na BOA ni mifano tu.JF Mtaua watu KWA msongo aiseh!!
Mbona ishu za kawaida!!?
Sasa kama watu wameamua kuweka fedha benki KWA malengo yao WEWE unaumia nini Mkuu!!?
Mungu tusaidie SANA!!
Nimechukua jibu lako "changamoto ya watu wengine kwenye kusave.. sasa sijui wew umenielewaje mkuu mwemaUsiwatafsirie watu Kuna mtu anakipato Cha elf 5 had 10 kwasiku analengo la kupata laki 3 inaweza kumsaidia njia hii kujikwamua sio uzembe ni njia ya kusave pia
Watu wa humu wanapendasana kufake sana wanaacha uhalisia ulivoJF Mtaua watu KWA msongo aiseh!!
Mbona ishu za kawaida!!?
Sasa kama watu wameamua kuweka fedha benki KWA malengo yao WEWE unaumia nini Mkuu!!?
Mungu tusaidie SANA!!
Dondosha ili niingie nione na huko kama uncle zangu wapo huko pia [emoji848]Msiongee mkajimaliza kuna mchezo wa Mapazia na vyombo kila siku buku anatoka mtu 1 nadondosha link hapa.