Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

Ni kweli jamii ina hili tatizo la walioshindikana esp mijini kama Dar kuna ambao utasema hawana wazazi wanaowaheshimu.

Sema, Sio mabinti kutoka koo zote za hii nchi wameharibika, kuna koo humu Tanganyika bado kuna discpline, wazee wanasikilizwa na wapo in control. Mabinti zao wana maadili na hofu ya MUNGU.

Ukibahatika kukutana na wanawake wa aina hii, wanahubiri kwa vitendo uzuri wa wanawake na umuhimu wao kwenye maisha ya mwanaume. Na hii ndo tafsiri sahihi ya mwanamke.

Tukubaliane kuwa, kila akitajwa mwanamke, imaanishe binti/mama mwenye maadili. Hawa wengine tuwaite wahuni wenye maumbile ya kike.

Woote wasio na adabu,wenye kutokuheshimu mwanaume, matapeli ya ndoa na wezi wa jasho la mwanaume wasiitwe wanawake.
 
I suppose by "evidentailism" (sic) you must mean evidentialism, and that was a typographical error.

Where is the quantitative analysis and empirical data to support your conclusions on this thread?
So you want me to give you non numerical information about the concepts and experience I have acquired from learning philosophical knowledge?
 
What was the essence of asking me for quantitative analysis and empirical data?
To get objective quantitative analysis and empirical data, not, as you put it "non numerical information about the concepts and experience I have acquired from learning philosophical knowledge".

In fact the two are not even mutually exclusive, you can support your philosophical leanings with quantitative analysis and empirical data, economists do it all the time. If you read Piketty's "Capital in the 21st Century" you will see that.

So you have several logical fallacies here.

False dichotomy, non sequitur, fallacy of personal experience. Just to start with.
 
Mkuu kama huwezi kum control mke wako au demu wako basi ujue wewe ni DHAIFU
Usidanganyike na Post zao za social media au ma motivation speakers wanao ropoka haki sawa.......wanatulia vizuri tu na tunaishi nao

Au isije ikawa unatongoza wadangaji halafu ukajumlisha wanawake wote au asilimia kubwa wapo hivyo.... BIG NO
 
Umeongea vizuri Sana .big up
 
Usishangae mkuu, na huu ndio ukweli.

Kuna social engineering inafanyika kwenye jamii yetu ambayo inalenga kumfanya mwanaume aone ni ufahari kuishi Kwa kumfurahisha mwanamke.
Kwa manufaa ya nani??
Hao wanaofanya hiyo social engineering wananufaikaje?
 
Mkuu Hawa wanawake WA kileo hata wakija mababu zetu WA miaka Ile hawatawezana nao

Hamuwezi ukampangia binti au mwanamke WA kileo jinsi ya kuishi ilihali jamii imeshampa uhuru usiokuwa na mipaka...
Mfano wa vitu gani unataka kumpangia vmwanamke wa kileo ambavyo hawezi kuvikubali kwa sababu amepewa uhuru usio na mipaka?
 
Kwa manufaa ya nani??
Hao wanaofanya hiyo social engineering wananufaikaje?
Kwa manufaa ya nani?

Kwa manufaa ya wanawake Tena kama wewe ni Mmoja ya hao waathirika wakubwa, maani you are irredeemable simp.... Umeaminishwa kum-pedestalize mwanamke ndio kustaarabika kwenyewe huko.
 
Mfano wa vitu gani unataka kumpangia vmwanamke wa kileo ambavyo hawezi kuvikubali kwa sababu amepewa uhuru usio na mipaka?
Unaniuliza swali la kipuuzi hivi na wakati Kwa mitazamo yako ya kisasa iliyojaa uliberal unafahamu kila kitu...

Wewe leo hii unaweza kumpangia mtoto WA kike kuhusu mahusiano akishafika umri WA balehe hata kama Bado anaishi kwako???

Unaweza kumzuia mtoto WA kike kwenda club kujichanganya na makampani ya ajabu ajabu?

Unaweza kumpangia mwanamke aina Gani ya nguo anayotakiwa kuvaa???

Unaweza kumpangia mwanamke wakati sahihi WA kuzaa, kwamba asizae kabla ya ndoa na akakuelewa?
 
Umeandika upuuzi mtupu bila kujua.

Huna uwezo WA kumdhibiti au kumcontrol mke wako leo hii kama akiamua kukengeuka, maana ana strong back up ambayo wewe huna.

Hebu nenda kasome kwanza kisa Cha Roberto Carlos kisha uje hapa uniambie ni kwanini analala nje ya nyumba zake na wakati ni nyumba aliiyozitafuta Kwa jasho lake mwenyewe
 
Uliposema tu wana , Baba , kaka zao nikajua tayari UMERUHUSU maana wako humu JF.
La PILI hao ndio wana utelezi ukikomaa utaenda kundi lingine na Sabuni.
La Tatu ni techinic ya kuua tembo kwa unyoya yaani unaipata kirahisi bila gharama zaidi wewe ndio unagharamiwa kuteleza.

Afterall kimaumbile hili kundi hawana ubavu wa kushindana na mwanaume. So kuwa fair wapate refa ambaye ni mwanaume
 
Let's go back where we initially started this Convo, I needed a book you asked for my epistemology then I mentioned it, you needed a proof I made clear to how it can be a little bit complicated to put it in more understandable way and of course I find it is unnecessary energy consuming assignment, now I have been caught with false dichotomy??

Sawa nitumie email yako nikutumie maana sio kazi ya kuandika paragraphs mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…