Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

Hakuna chochote kilicho nikuta bali nawachana nyinyi midume mnao jipendekeza kwa mamanzi.
Moja wapo ya dalili za mwanaume kuwa dhaifu ni kuendeshwa na nyege badala ya akili.
Hujaelewa nilichokiandika,
Nimeuliza hivi,
Hivi mwanaume aliyekamilika,anaweza kuishi bila kumuhitajia mwanamke?
Kwahiyo wewe unaamini kua kuwaponda wanawake wote ndio sio udhaifu?

Kwa sisi watu wazima,huu uzi wako umeonyesha udhaifu wako wewe bila wewe mwenyewe kujijua.
 
Mkuu hakuna sehemu nilipo sema kuwa mtu unaweza kuishi bila kumtegemea mwanamke.
Mwanamke ni mama,dada,mke, mtoto lakini hilo haliwezi kutuzuia kuwasema pale wanapo zingua.
Na hakuna sehemu yeyote nilipo waponda wanaume wote.

Mfano mtu akileta mada kuhusu tatizo la single mother utashangaa watu wanakuja kusema kuwa usiwaseme kwa sababu wao ni mama zetu hapo ndo tatizo linakuja.
Mara ww sio mwanaume ni mvulana.

Yaani kwamba kwa sababu ni mama zetu ndo tuhalishe makosa yao?
 
Mkuu hata thread yangu ya kuwasifia wanaume haujawahi kuiona?

Anyways pambana na makasiriko yako usihamishie wengine.
 
Mkuu hakuna sehemu nilipo sema kuwa mtu unaweza kuishi bila kumtegemea mwanamke.
Soma comment yako namba 55
Mwanamke ni mama,dada,mke, mtoto lakini hilo haliwezi kutuzuia kuwasema pale wanapo zingua.
Na hakuna sehemu yeyote nilipo waponda wanaume wote.
Rudia tena kuisoma mada yako vizuri,inaonekana uliiandika huku ukiwa na hasira.
Mfano mtu akileta mada kuhusu tatizo la single mother utashangaa watu wanakuja kusema kuwa usiwaseme kwa sababu wao ni mama zetu hapo ndo tatizo linakuja.
Mara ww sio mwanaume ni mvulana.
Kuwaponda single maza wote haikubaliki,wapo single maza ni wazuri,so ukiponda single maza wote,ni lazima wenye ushuhuda wa single maza wazuri watakupinga tu,tatizo linakuja kama ukijumuisha single maza wote,
Yaani kwamba kwa sababu ni mama zetu ndo tuhalishe makosa yao?
Hua hatudeal na makosa ya mtu kutokana na jinsia yake,makosa ni makosa tu,aliye kosea ataulizwa,atafahamishwa,atarekebishwa,kama harekebishiki ataachwa aende zake,life is too short,hakuna haja ya kuhangaika na mtu ambaye yeye mwenyewe hayupo tayari kubadilika,

Na mwisho kabisa,kila mtu ana madhaifu yake,haijalishi ni jinsia gani.
 
Wewe ni mtu dhaifu. Sio lazima useme kilichotokea. Maandishi yako yaliyojaa uchungu wa kutendwa na mwanamke ni ushahidi usiotia shaka. Wanawake ndo wanaotupa utamu lazima tuwatetee. Au na wewe unataka kuwa mwanamke ili tukutetee?
 
Hivi hapa duniani kuwa watu wanao pitia magumu zaidi ya wanaume ?
Mbona wanawake huwa hawajishughulishi na sisi ila sisi kutwa kukitia kiwatetea?
Duh! Wanawake wako salama kweli around you?

Kuna kukosoana na kuna chuki, Hii yako ni chuki.. Mnajiumiza bure kubeba chuki kwa vitu ambavyo hamuwezi kuvicontroll.

Imagine kila mtu awe bitter kwa kila mtu kwasababu ya matatizo yake binafsi!
 
Wataje hapa hapa mkuu tuwajue hao wanetu 😀 😀
Tsh
mshamba_hachekwi
@Mr.sound
Kiranga

Hawa ni baadhi tu ya members wa kiume ambao Huwa ni watetezi wa kubwa wa wanawake humu,

Hasa huyo ya kwanza wa kujiita Tsh ndio balaha, yeye Huwa anaamini chochote kibaya kinachomkuta mwanamke basi kimesababishwa na mwanaume, yaani kwake yeye wanawake ni kama malaika... Jamaa akianza kutetea upuuzi wa wanawake hadi anatia hasira kama huko karibu naye unaweza ukampa mabanzi... Mpaka Kuna muda Huwa nahisi yawezekana huyu ni jike ambaye ameamua kujitanabaisha kama mwanaume humu ndani.
 
Wewe ni mtu dhaifu. Sio lazima useme kilichotokea. Maandishi yako yaliyojaa uchungu wa kutendwa na mwanamke ni ushahidi usiotia shaka. Wanawake ndo wanaotupa utamu lazima tuwatetee. Au na wewe unatakwa kuwa mwanamke ili tukutetee?
Hayo unayajua ww kwa sababu umeyasema ww maana mm sijayasema hayo unayo lazimisha.
Ww unadhani kila mtu ni dhaifu wa uchi kama ww?
Ww unasema wanakupa utamu kwani ww huwapi utamu ?
Maboya kama nyinyi ndo mnawafanya wanawake wajione wana haki kwa mwanaume ila wanaume hawana haki kwa wanawake.
 
Duh! Wanawake wako salama kweli around you?

Kuna kukosoana na kuna chuki, Hii yako ni chuki.. Mnajiumiza bure kubeba chuki kwa vitu ambavyo hamuwezi kuvicontroll.

Imagine kila mtu awe bitter kwa kila mtu kwasababu ya matatizo yake binafsi!
Ww ni single mother mzoefu kwahiyo uko sahihi.
 
Mwanamke ndie trouble maker duniani. Aliongea na shetani kabisaaaa kitu ambacho kwa mwanaume hakijatokea.
Hili andiko liliandikwa na mwanamume, Angeandika Mwanamke probably story ingekuwa tofauti.. aliyeandika historia hata ya dunia alijipendelea.

Ya”ll narrow minded!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…