Wanaume mnaojipodoa mnaupiga mwingi!

Muelewe mleta mada kamaanisha wanaume nao wanajipodoa kama wanawake hali hii inapelekea wanaume kwa wanaume kutamaniana coz kuna wanaume warembo + kujipodoa=ushoga
Huu uongo, mwanaume kumtamani mwanaume mwenzako haiwezekani, hata kama kajipodoa vipi. Yani haiwezekani na kama unaona inawezekana kwako basi jua Uzi wako ni mwembamba wakua SHOGA, Ukikatika unakua SHOGA . [emoji48][emoji706]
 
Lkn point ya huhakika ni kwamba sio sahihi mwanaume kujipodoa, the way wanawake wanafanya. Lakini tukiingia kwenye swala la Utanashati, mwanaume lazma uwe mtanashati ukisema eti hata mafuta hupaki kwamba ndio symbol ya uanaume wako, Bro unakua unazingua MADEM hawapendi uchafu unless utumie mzizi wa mganga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kujipodoa na usafi havihusiani!

asante kwa mchango wako
 
Huu ndio ukweli!

waweza kujipodoa, bado ukawa mchafu!

asante sana
Yaani hata aibu huoni,
Mtu anajipodoaje akiwa mchafu???

Hebu ishini maisha yenu msipende kuchunguza wengine mtachelewa sana
 
Huu uongo, mwanaume kumtamani mwanaume mwenzako haiwezekani, hata kama kajipodoa vipi. Yani haiwezekani na kama unaona inawezekana kwako basi jua Uzi wako ni mwembamba wakua SHOGA, Ukikatika unakua SHOGA . [emoji48][emoji706]
Yaani sio uzi mwembamba huo ni Ushoga wa wazi wazi, huwezi mtamani kidume mwenzio kisa amejiremba na kujipodoa, mbona wanawake hawatamaniani wakijipodoa [emoji848]
 
Na wanajua kurembua na kuramba lips zao kuliko pisi kali
 
Wapo wengi tu, huyu da dream anasema et ndio usafi!
usafi wa kubadili nature yako?!
Ukizeeka ndio utajua umuhimu wa kutunza ngozi yako lakini utakua umeshachelewa halafu wa rika lako uliokua unawashangaa wanajipaka vipodozi wanapendeza nyuso zao hazina makunyanzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…