Wanaume mnaokasirika kasirika humu, mnaishije na wake zenu?

Mimi nampuuza tuu. Nipo hapa JF kuburudika na kuhabarika. Mtu hakujui, humjui, hajui wewe ni nani, anawezaje kukuumiza kichwa!
JF ndio sehemu pekee tunabishana na mental health patients.
Hapa JF, ndipo unaweza bishana na mtu kuhusu utajiri ilihali hana hata godoro!
JF mtu anaweza kukutambia ana utajiri, kampuni baada ya wiki akaanzisha uzi anaomba kazi! 😁
Hivi huwa wanasahau? Kuna watu wana kazi ya kubadili username wakiyakanyaga! Mtu hujuani na kila mtu ila huo ujasiri wa kujipa umuhimu wa kuanika mali zako humu unatoa wapi? Lengo la jf ni nini?

Mtu ambaye ni boastful ana insecurity kubwa pia..
 
Sio kusahau, JF wanachama wake sio halisi JF. Tunatumia uanachama wa bandia. Hivyo mtu anaweza jiposition vyovyote vile, kujipa uhusika wowote na kufanya chochote. 😁
Sasa ukiwa too emotional hapa lazima utajikuta victim.
 
Najiepusha sana na huo mtego! Kipindi nimejoin bwana kidogo ninaswe, nilijiengua kimtindo nikakoma kabisa😅

Juzi juzi nimemuona mwanang mmoja anaambiwa mambo ya milion 200 nikamsanua mapema😂
 
Hii JF tunawindana sana. 😁
Watu washapigwa sana matukio, mjini shule.
 
Unawindwa na matapeli, wenye mental issues, wenye wapenzi wao humu, wapenda mishangazi, wapigaji wanaojipangia kupita na kila mwanamke, wadhalilishaji.. yani ni tafrani tupu🙌🏾
 
JF inatumika vibaya na watu wajinga, ukionyesha hisia za kupenda, kutaka kusaidia, kuhurumia basi manipulators, swindlers, conmen and scammers emerges, wanachukua advantage hiyo kukutapeli, iwe ni hela, mapenzi, biashara n.k
Mimi kuna mtu mmoja around 2015, alileta uzi kwamba ana shida ya usikivu (Healing loss), kibinadamu nikamhurumia, nikamuomba anipe namba, nikamchangia nauli na kumuhaidi kumsaidia afike mjini akutane na Specialist wa masikio, just to know exactly what was behind his ears. Kweli yule mtu nilimtumia nauli, fedha ya malazi na nikafanya appointment na mshikaji wangu yupo hapo Muhimbili. Japo fedha ilikuwa kidogo tuu lakini baada ya kuituma, alinambia tuu ameipata na baada ya hapo hakukuwa na mawasiliano. Simu ile haikupatikana tena, na mshikaji wangu akaniuliza one day tunacheki boli, yule mgonjwa wetu vipi?.
Nikakosa jibu, nikamwambia stori nzima, akanambia niwe makini sana na hisia zangu. Don't show love, love will get you killed. 😁
 
Attachments

  • Screenshot_20260407_182729_Chrome.jpg
    Screenshot_20260407_182729_Chrome.jpg
    57.7 KB · Views: 24
Hivi na huko kwa mumeo hua unatumia AI kuongea nae kama unavyofanya humu?

NI wanaume wangapi wapole wamepigwa matukio na wake zao? Kwanza wanawake wanaojielewa hua wanapenda Bad boys,zipo nyuzi humu za kuthibitisha hilo,

Mwanaume lazima akae kianaume,unataka wawe legelege ili iweje?

Ukiona wanaume wanakujibu kwa hasira humu unatakiwa ujitafakari na kuangalia maudhui yako unayo yaleta humu na uwasilishaji wako,

Mfano unaleta maudhui ya wanaume wote kisha unaingiza maneno ya kidini kama reference,kwani Wanaume wote wa JF ni walokole wenzako? Wote ni dini moja?

Kingine huwezi kuwacontrol watu wote,sio JF tu hata makazini au ndani ya familia,watu hawafanani.
 
Zamani hapa tulikuwa tunaheshimina sana, hoja kwa hoja, uzi unaweza fika hata page 100, watu wanabishana kwa hoja. Hutasikia kejeli, matusi wala provoking.
Siku hizi hapa mtu anakuprovoke ili tuu muanze kutukanana, lengo JF lilikuwa ni kutoa maoni, kufichua uovu, kuelimisha jamii, kufanya mijadala ya shaha, kuheshimu mawazo ya wengine hata kama huyakubali.
Zamani hapa JF, tulitofautiana kimawazo, kifikra n.k lakini tulikuwa hatuhitilafiani, utu wa mtu tuliuweka mbele na kuheshimu mawazo ya kila mtu, pamoj na kwamba hatufahamiani.
JF ilikuwa familia, enzi "Ficha upumbavu wako, onyesha hekma yako" Gen-Z wengi walikuwa shule.
Wengine uvumilivu ulitushinda tukafungua ID mpya za kwenda nao sambamba hawa wapumbavu humu
Na nina ID zangu za kuchangaia mada ninazoona zinaenda kiustaarabu
 
Ha ha au ndio nyie mlikimbilia kuwa verified? 😁
Nina ID moja tuu humu, ever since.
 
JF inatumika vibaya na watu wajinga, ukionyesha hisia za kupenda, kutaka kusaidia, kuhurumia basi manipulators, swindlers, conmen and scammers emerges, wanachukua advantage hiyo kukutapeli, iwe ni hela, mapenzi, biashara n.k
Mimi kuna mtu mmoja around 2015, alileta uzi kwamba ana shida ya usikivu (Healing loss), kibinadamu nikamhurumia, nikamuomba anipe namba, nikamchangia nauli na kumuhaidi kumsaidia afike mjini akutane na Specialist wa masikio, just to know exactly what was behind his ears. Kweli yule mtu nilimtumia nauli, fedha ya malazi na nikafanya appointment na mshikaji wangu yupo hapo Muhimbili. Japo fedha ilikuwa kidogo tuu lakini baada ya kuituma, alinambia tuu ameipata na baada ya hapo hakukuwa na mawasiliano. Simu ile haikupatikana tena, na mshikaji wangu akaniuliza one day tunacheki boli, yule mgonjwa wetu vipi?.
Nikakosa jibu, nikamwambia stori nzima, akanambia niwe makini sana na hisia zangu. Don't show love, love will get you killed. 😁
Duhh na hukuwahi kumuona tena jukwaani? Inasikitisha sana.. ndiomaana unaweza kumpa mtu ushauri wa maneno ukashangaa hakuchangamkii sana kumbe kuna namna anategemea kutoka kwa watu wa humu? Na unatunza more than 10yrs una chats??🤭

Pole sana mkuu, mimi nimeshajifunza and I trust my instincts so bad,misaada ya kifedha na kingono ndio inawafanya watu wakuchangamkie, ushauri na saha utajipa mwenyewe! No one is interested in you! Dawa nikukaa nao mbali tu, na super ego inasaidia sana, inakuepusha na mambo mengi iwe mtaani au mitandaoni!🙌🏾
 
Seran wewe unawezaje kupima hekima ya mwanaume au hekima ya mtu
Kwanini nishindwe? Naweza kupima kutokana na mazungumzo yake tu! Namna anavyoadress wengine au reaction zake pindi anapokwazwa!
 
JF inatumika vibaya na watu wajinga, ukionyesha hisia za kupenda, kutaka kusaidia, kuhurumia basi manipulators, swindlers, conmen and scammers emerges, wanachukua advantage hiyo kukutapeli, iwe ni hela, mapenzi, biashara n.k
Mimi kuna mtu mmoja around 2015, alileta uzi kwamba ana shida ya usikivu (Healing loss), kibinadamu nikamhurumia, nikamuomba anipe namba, nikamchangia nauli na kumuhaidi kumsaidia afike mjini akutane na Specialist wa masikio, just to know exactly what was behind his ears. Kweli yule mtu nilimtumia nauli, fedha ya malazi na nikafanya appointment na mshikaji wangu yupo hapo Muhimbili. Japo fedha ilikuwa kidogo tuu lakini baada ya kuituma, alinambia tuu ameipata na baada ya hapo hakukuwa na mawasiliano. Simu ile haikupatikana tena, na mshikaji wangu akaniuliza one day tunacheki boli, yule mgonjwa wetu vipi?.
Nikakosa jibu, nikamwambia stori nzima, akanambia niwe makini sana na hisia zangu. Don't show love, love will get you killed. 😁
Mkuu samahani sana, simu iliibiwa nikapoteza mawasiliano yako,hata ID yako niliisahau,

ile hela haikutosha,nitumie zingine basi ili niongezee.

😀😀
 
Ha ha au ndio nyie mlikimbilia kuwa verified? 😁
Nina ID moja tuu humu, ever since.
Bado sijapata sababu ya kuanzisha id mpya! Hii hii ndio ntatumia nikiokoka, nikiwa bar, nikitukana watesi etc.. mtu hanijui nimfungulie id mpya namuogopa kivipi yani?
 
Back
Top Bottom