Wanaume mnaokasirika kasirika humu, mnaishije na wake zenu?

Hivi huwa wanasahau? Kuna watu wana kazi ya kubadili username wakiyakanyaga! Mtu hujuani na kila mtu ila huo ujasiri wa kujipa umuhimu wa kuanika mali zako humu unatoa wapi? Lengo la jf ni nini?

Mtu ambaye ni boastful ana insecurity kubwa pia..
 
Sio kusahau, JF wanachama wake sio halisi JF. Tunatumia uanachama wa bandia. Hivyo mtu anaweza jiposition vyovyote vile, kujipa uhusika wowote na kufanya chochote. 😁
Sasa ukiwa too emotional hapa lazima utajikuta victim.
 
Najiepusha sana na huo mtego! Kipindi nimejoin bwana kidogo ninaswe, nilijiengua kimtindo nikakoma kabisaπŸ˜…

Juzi juzi nimemuona mwanang mmoja anaambiwa mambo ya milion 200 nikamsanua mapemaπŸ˜‚
 
Najiepusha sana na huo mtego! Kipindi nimejoin bwana kidogo ninaswe, nilijiengua kimtindo nikakoma kabisaπŸ˜…

Juzi juzi nimemuona mwanang mmoja anaambiwa mambo ya milion 200 nikamsanua mapemaπŸ˜‚

Hii JF tunawindana sana. 😁
Watu washapigwa sana matukio, mjini shule.
 
Hii JF tunawindana sana. 😁
Watu washapigwa sana matukio, mjini shule.
Unawindwa na matapeli, wenye mental issues, wenye wapenzi wao humu, wapenda mishangazi, wapigaji wanaojipangia kupita na kila mwanamke, wadhalilishaji.. yani ni tafrani tupuπŸ™ŒπŸΎ
 
Unawindwa na matapeli, wenye mental issues, wenye wapenzi wao humu, wapenda mishangazi, wapigaji wanaojipangia kupita na kila mwanamke, wadhalilishaji.. yani ni tafrani tupuπŸ™ŒπŸΎ

JF inatumika vibaya na watu wajinga, ukionyesha hisia za kupenda, kutaka kusaidia, kuhurumia basi manipulators, swindlers, conmen and scammers emerges, wanachukua advantage hiyo kukutapeli, iwe ni hela, mapenzi, biashara n.k
Mimi kuna mtu mmoja around 2015, alileta uzi kwamba ana shida ya usikivu (Healing loss), kibinadamu nikamhurumia, nikamuomba anipe namba, nikamchangia nauli na kumuhaidi kumsaidia afike mjini akutane na Specialist wa masikio, just to know exactly what was behind his ears. Kweli yule mtu nilimtumia nauli, fedha ya malazi na nikafanya appointment na mshikaji wangu yupo hapo Muhimbili. Japo fedha ilikuwa kidogo tuu lakini baada ya kuituma, alinambia tuu ameipata na baada ya hapo hakukuwa na mawasiliano. Simu ile haikupatikana tena, na mshikaji wangu akaniuliza one day tunacheki boli, yule mgonjwa wetu vipi?.
Nikakosa jibu, nikamwambia stori nzima, akanambia niwe makini sana na hisia zangu. Don't show love, love will get you killed. 😁
 
Attachments

  • Screenshot_20260407_182729_Chrome.jpg
    57.7 KB · Views: 24
Hivi na huko kwa mumeo hua unatumia AI kuongea nae kama unavyofanya humu?

NI wanaume wangapi wapole wamepigwa matukio na wake zao? Kwanza wanawake wanaojielewa hua wanapenda Bad boys,zipo nyuzi humu za kuthibitisha hilo,

Mwanaume lazima akae kianaume,unataka wawe legelege ili iweje?

Ukiona wanaume wanakujibu kwa hasira humu unatakiwa ujitafakari na kuangalia maudhui yako unayo yaleta humu na uwasilishaji wako,

Mfano unaleta maudhui ya wanaume wote kisha unaingiza maneno ya kidini kama reference,kwani Wanaume wote wa JF ni walokole wenzako? Wote ni dini moja?

Kingine huwezi kuwacontrol watu wote,sio JF tu hata makazini au ndani ya familia,watu hawafanani.
 
Wengine uvumilivu ulitushinda tukafungua ID mpya za kwenda nao sambamba hawa wapumbavu humu
Na nina ID zangu za kuchangaia mada ninazoona zinaenda kiustaarabu
 
Wengine uvumilivu ulitushinda tukafungua ID mpya za kwenda nao sambamba hawa wapumbavu humu
Na nina ID zangu za kuchangaia mada ninazoona zinaenda kiustaarabu

Ha ha au ndio nyie mlikimbilia kuwa verified? 😁
Nina ID moja tuu humu, ever since.
 
Duhh na hukuwahi kumuona tena jukwaani? Inasikitisha sana.. ndiomaana unaweza kumpa mtu ushauri wa maneno ukashangaa hakuchangamkii sana kumbe kuna namna anategemea kutoka kwa watu wa humu? Na unatunza more than 10yrs una chats??🀭

Pole sana mkuu, mimi nimeshajifunza and I trust my instincts so bad,misaada ya kifedha na kingono ndio inawafanya watu wakuchangamkie, ushauri na saha utajipa mwenyewe! No one is interested in you! Dawa nikukaa nao mbali tu, na super ego inasaidia sana, inakuepusha na mambo mengi iwe mtaani au mitandaoni!πŸ™ŒπŸΎ
 
Seran wewe unawezaje kupima hekima ya mwanaume au hekima ya mtu
Kwanini nishindwe? Naweza kupima kutokana na mazungumzo yake tu! Namna anavyoadress wengine au reaction zake pindi anapokwazwa!
 
Mkuu samahani sana, simu iliibiwa nikapoteza mawasiliano yako,hata ID yako niliisahau,

ile hela haikutosha,nitumie zingine basi ili niongezee.

πŸ˜€πŸ˜€
 
Ha ha au ndio nyie mlikimbilia kuwa verified? 😁
Nina ID moja tuu humu, ever since.
Bado sijapata sababu ya kuanzisha id mpya! Hii hii ndio ntatumia nikiokoka, nikiwa bar, nikitukana watesi etc.. mtu hanijui nimfungulie id mpya namuogopa kivipi yani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…