Kuna kuigiza ndani yake ikawa michezo tuKwanini nishindwe? Naweza kupima kutokana na mazungumzo yake tu! Namna anavyoadress wengine au reaction zake pindi anapokwazwa!
Sio rahisi kihivyo coz kuna watu tunabadilika kutokana na issue iliyopo mezani au jinsi mtu anavyoku attack,Kwanini nishindwe? Naweza kupima kutokana na mazungumzo yake tu! Namna anavyoadress wengine au reaction zake pindi anapokwazwa!
Mkuu samahani sana, simu iliibiwa nikapoteza mawasiliano yako,hata ID yako niliisahau,
ile hela haikutosha,nitumie zingine basi ili niongezee.
ππ
Duhh binadamu tunajua kujidhalilisha aisee! Mtu yuko radhi asingizie jambo ili aokote kielea ambacho hakifiki siku mbili..Sikuwahi muona, na sijawahi mfuatilia tena. Ushahidi huo hapo nimeuweka kwenye chat. π
Utaigiza kila siku? Ipo siku tu uvumilivu utakushinda utajianika wazi wazi..Kuna kuigiza ndani yake ikawa michezo tu
Unajua hii issue ya utapeli ni mbaya sana coz inawaharibia hata wenye shida ya kweli,No chance my nigga.
Never again! π
Kuna mtu akiambiwa tu kitu kidogo anafokafoka, kila post mtu anafoka anatukana, kwamba ndio kachagua kuwa hivyo, akiamka tu asbh akaingia jf anatukana ana mahasira tu muda wote! Hata hajisahau kama leo yuko in Good mood?Sio rahisi kihivyo coz kuna watu tunabadilika kutokana na issue iliyopo mezani au jinsi mtu anavyoku attack,
Maisha ya JF ni tofauti kabisa na maisha ya uhalisia.
Hahaha kuna siku nimeona status eti shida ikizidi buku 5 wapigie ndugu zako, nilichekaπ€Unajua hii issue ya utapeli ni mbaya sana coz inawaharibia hata wenye shida ya kweli,
Matokeo yake watu wanaacha kuwasaidia wenye shida kwa kuogopa kutapeliwa,halafu inakuja kutafsiriwa kua,siku hizi watu wana roho mbaya,hawasaidii wenzao wenye shida!
JF unapokelewa kama unavyokuja,sidhani kama mtu atasemeshwa kistaarabu au akosolewe kistaarabu kisha aonyeshe hasira bila sababu ya msingi.Kuna mtu akiambiwa tu kitu kidogo anafokafoka, kila post mtu anafoka anatukana, kwamba ndio kachagua kuwa hivyo, akiamka tu asbh akaingia jf anatukana ana mahasira tu muda wote! Hata hajisahau kama leo yuko in Good mood?
Basi utakuwa hujakutana nao mkuu,JF unapokelewa kama unavyokuja,sidhani kama mtu atasemeshwa kistaarabu au akosolewe kistaarabu kisha aonyeshe hasira bila sababu ya msingi.
Duhh binadamu tunajua kujidhalilisha aisee! Mtu yuko radhi asingizie jambo ili aokote kielea ambacho hakifiki siku mbili..
Duhh maisha gani hayo sasa jamaniππ½ββοΈMatapeli/swindlers popote duniani ndivyo walivyo, lazima kwanza waaanzishe sympathy, enthusiasm, eagerly, wapate wishful thinking then wakutapeli afterwards.
Kiu yako ya ndani ndio inafanya utapeliwe. Kiu ya mapenzi, kiu ya kusaidia,tamaa, huruma, kupenda sana, kuwa na interest sana na kitu ndo mitego ya kutapeliwa.
Ukiwa hapo Kariakoo, kuna mwizi anatokea kwa mbele anakuonyesha kitu cha thamani sana, nguo kali,labda simu, bracelets, kidani, pete, mkufu ili kukuvuta attention yako, ukihamasika anakutajia bei chee sana. π
ukionyesha attention/kiu/tamaa basi unatapeliwa.
Nakupa kisa; First time, nafika Johannesburg, mitaa ya Midland, mwenyeji wangu Mjomba wangu, sasa ni Marehemu. Alinambia Anko hapa sio Dar, mitaa hii usiwe na time na mtu, usimuangalie mtu, usigeuke nyuma kutamani mwanamke makalio yake, ukienda ATM angalia huko na huko, ingia chap, toa hela chap, zifiche kwenye boksa chap,toka nje ya ATM chap, angalia usalama wako muda wote. Usimtazame mtu kwa admiration, mwanamke au mwanaume, mtu akidondosha kitu jifanye huna time, mtu akikuonyesha mkanda, saa, simu mbele yako mgonge kikumbo huku unamsonya. π
Usigeuke nyuma kutazama kalio za mwanamke, wala asitabasamu mwanamke anapokukonyeza from nowhere. π
Nimeshuhudia ATM mtu anatoka anakimbia kuwahi kwenye gari mitaa ile. Ukimkuta mtu ATM ndani, wewe unakaa mbali sio unapanga foleni. Anaetoka ATM anahofia mwizi, na ana chuma, ukijitikisa tuu au kuleta shobo unagongwa chuma. π
Duhh maisha gani hayo sasa jamaniππ½ββοΈ
Mbona hatariπ±
HIYO SENTENSI IMENIFURAHISHA SANA SANA. MALAIKA MBINGUNI WATASHANGILIA UKIAMUA KUOKOKA SASA HIVI. KUOKOKA NI RAHISI KABISAHii hii ndio ntatumia nikiokoka
Mimi penzi natoa wapi mzeeKuwa makini JF hapa, utawindwa ili utoe penzi na hela, mario kibo hapa. π
Amen ππ½HIYO SENTENSI IMENIFURAHISHA SANA SANA. MALAIKA MBINGUNI WATASHANGILIA UKIAMUA KUOKOKA SASA HIVI. KUOKOKA NI RAHISI KABISA
Fuatisha sala hii ya toba kwa moyo wako wa dhati, utaokoka sasa hivi:
"Ee Mungu Baba, nimetambua mimi ni mwenye dhambi. Leo nakuja mbele zako nikiomba msamaha wako. Natubu dhambi zangu zote na nimeamua kuziacha kabisa. Nakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana, na Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu. Yesu karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Naomba unipe nguvu ya kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu. Namkataa shetani na kazi zake zote. Asante Yesu kwa kuniokoa. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen.β
Kama umeomba sala hiyo kwa moyo wako wa dhati, tayari umeokoka. Anza kusoma Biblia kila siku na kumuomba Mungu akusaidie kuishi maisha ya utakatifu. Tafuta pia Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu, ujiunge nalo, watakupa msaada zaidi wa jinsi ya kuendelea kiroho. Ubarikiwe sana Seran
Mimi penzi natoa wapi mzee
Pesa ndio sijawahi milikiπππ½ββοΈ
Haijalishi uko jf au wapi, kama hautakuwa makini lazima unyooshwe na wajanja wa mjini!We kama mimi tuu. π
Haijalishi uko jf au wapi, kama hautakuwa makini lazima unyooshwe na wajanja wa mjini!