Wanaume mnaoongoza wake zenu vyema kwenye misingi ya dini na imani Mungu awabariki sana

Wanaume mnaoongoza wake zenu vyema kwenye misingi ya dini na imani Mungu awabariki sana

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Kichwa cha mke☺☺

WAEFESO 5:23-25
Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.

Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;
 
Nimeamka kusali, kisha nikamtazama akimnyonyesha kiziwanda.
Mungu amtunze na ampe afya njema hasa nikikumbuka siku aliponiambia (J... mimi sina akili, lakini tutatumia akili zako)....😊😊
Ngoja niamke niwaandalie kitafunwa kisha niende kanisani nikajitetee...
 
Kichwa cha familia barikiwa sana na wafalme watoke kwenye uzao wako🙏

Ila sijui kwanini unamwita huyu mtoto mziwanda😃😃
 
Kila kitu kinahitaji maandalizi.
Sasa Vijana wengi Hawana maandalizi, hawajaandaliwa vyema.
Wanajifunza uanaume ndani ya Ndoa.

Wanawake ni kama Wanafunzi, vile utakavyoeafundisha ndicho watakavyo achieve
 
Feminist haongozwi, anataka aongoze yeye. Ndoa imekuwa ubatili mtupu.
KATAA NDOA
 
Hata mtoto anarithi akili kutoka kwa mama na wajomba......
Ukitaka kuona mtoto wako atakuwa mtu wa namna gani, watazame mkeo na kaka zake......
 
Mke wangu akikaa mbali na sisiem najua hawezi shikwa na ushetani wowote ule na dereva ntakuwa nna Amani.
#LM
 
Hata mtoto anarithi akili kutoka kwa mama na wajomba......
Ukitaka kuona mtoto wako atakuwa mtu wa namna gani, watazame mkeo na kaka zake......

Haina ubishi

Scientists: Children Inherit Intelligence From Mothers, Not Fathers

CBS News Pittsburgh: Free 24/7 News

According to the Independent, a new study shows a mother's genetics determine how clever her kids are, but the father makes no difference.

Why? Women are more likely to transmit intelligence gene to children because they are carried on the X chromosome. Women have two of these while men have just one.

Additionally, researchers now believe genes for advanced cognitive functions inherited from the father may be automatically deactivated.

A category of genes known as "conditioned genes" are believed to only work if they come from the mother in some cases and the father in other cases. Intelligence is believed to be among the conditioned genes that have to come from the mother.
Studies utilizing mice show that those with an extra dose of maternal genes developed bigger brains with smaller bodies, while those with paternal genes had small brains and bigger bodies.

Cells with paternal genes accumulated in the limbic system, which focuses on functions such as sex, food and aggression. Researchers did not find any paternal genes in the cerebral cortex, which is where reasoning, thought, language and planning take place.

As for human examples, researchers interviewed 12,686 young people between the ages of 14 and 22 every year from 1994. Despite taking into account several factors, from the participants' education to their race and socio-economic status, the team still found the best predictor of intelligence was the IQ of the mother.
 
Kichwa cha familia barikiwa sana na wafalme watoke kwenye uzao wako🙏

Ila sijui kwanini unamwita huyu mtoto mziwanda😃😃
Tumefikia ukomo wa kuzaa, baada ya kufanya kikao cha ndani..😊
 
Back
Top Bottom